Kuwa mwaminifu,acha ngono zembe. Anamaanisha wewe ni mtumiwa tu(dampo)Ila hajawahi kusema ananipenda. Hela ananipa ila msg anachagua za kujibu,huwa hatuchat labda kama tunataka kumeet(tho nataman niwe nachat nae sana), Hayuko romantic hata tukiwa wote haongelei mapenzi its like hana interest na mm ila kwenye kunjunju anahakikisha naenjoy.
Najua ana mke ila nmeanza kufall na ni my frst mchepuko ila s.times kuna vitu anafanya simuelewi. Kuna siku aliniuliza kitu ili kumjibu ilitakiwa "nifukue kaburi"(past rtnshp) mara gafla akakataa akasema niache,wakat yeye ndio kauliza.
Siku nyingne nkikataa kupokea hela zake anamind and unamuona sura imechange, Siku nyingine tena kanikuta naongea na mchumba wangu kwenye simu akasusa(japo hakusema ile simu ndio sababu ila alijifanya he has other thing to do,akaondoka).
Hatujawahi kugombana. wanaume wenye michepuko mkifanya hivi mnamaanisha nini? natamani kumuelewa zaidi,
wengi mtasema niachane nae ila ndo ananitimizia mahitaji yangu mengi sana.
mhKuwa mwaminifu,acha ngono zembe. Anamaanisha wewe ni mtumiwa tu(dampo)
bora na wewe umeonaHii post wachangiaji wengi wanajifanya ni Saints alafu mleta UZI analaumiwa kwa kuonekana Sinner
Uandisho ndio nn?ama kweli Nyani haoni kundule!,hahahahaAisee uandisho hoi mbali na habari yenyewe
nasubir wanavokujabora na wewe umeona
Kwanini usitulie na wako wanawake bwana, then kesho huyo mwanaume wako akimjua huyo uliyemzungumzia hapa akakupiga chini uje utupe mrejesho pia, na mkewe akikujua atakufanya kitu mbaya chapati utaiita hapati........................Najua ana mke ila nmeanza kufall na ni my frst mchepuko ila s.times kuna vitu anafanya simuelewi
ππππ Mkuu punguza munkariwe si joyce au nani?!!unakuja kunitangaza huku eee
Baadae wanalalamika waoaji wenyewe wako wapi?Yaani unamchumba wako ila bado unatoka na mume wa mtu!
Haya mambo hata ndio yanafanya vijana wa kiume tusiwe na mpango wa kuoa
Mbona mguno? Huyo si mume wa mtu? Atafute wa kwake awe huru naye
Pole.kachelewa kunijua