Mume wa mtu ananitatiza

Kuna umuhimu wa JF kutufungulia jukwaa la kuhusu maswala ya michepuko tu.
 
Wewe hujielewi kwa kifupi
 
Dah.... Wanaume waongo Sana.... Usimuamini kuhusu kuwa una kyuma tamu... Gongesha kwa wanaume angalau 10 tofauti tofauti kisha upate mrejesho [emoji13] [emoji13]
 
kumbe shida yako kutimiziwa mahitaji tu ndo maana mnakufa na UKIMWI
 
kachelewa kunijua
Endelea kujidanganya

ananisifia nna kyuma tam,navutia plus(ila hajawahi kusema ananipenda)

Hivi hapo ulichokiandika umeshindwa kuelewa kuwa anakutumia tu?

Kuna wanaume wanajua kucheza na akili za wanawake vilAzA kama wewe aseee!

In other words wakitokea wanaume wengine wakakufuck then wakatoa sifa kuwa una 'kyuma' tamu utawapa na kuwapa tena

I feel sorry for your kyuma wallah!
 
Huu uandishi ni kama mwanaume ndiye aliyeandika hii post.
 
Siamini kama kweli una mchumba. Vip sasa hivi ukipata mimba utafanyeje??
Ukimwi je?

Kama ni pesa utazipata huyo mme wa mtu hatokuoa unapoteza mda.

Muheshimu hata kidogo huyo mchumba.

Hivi wadada wenzangu mnawezaje kuwa na watu wawili kwa wakati mmoja?vip simu mnawezaje kuficha mmoja asigundue? Ukiwa na mmoja yule akapiga unafanyaje?
 
jamii forum 2017 tutasoma mengi sana

MWISHO .
 
Kipindi cha nyuma kidogo kuna baadhi ya maneno ilikuwa ni ngum sana kuyaandika au kuyatamka lakini siku hizi hata jinsia ya kike wanayatamka. Tunakokwenda ni kubaya zaidi
huwa nabaki naangaliaga tu maana nakosa hata la kufanya, roho inaniuma sana kuona jamiiforum inaharibiwa hadi na baadhi ya watu nafurahi hata wewe ndugu umeliona hili.... JamiiForums Invisible Moderator RGforever mko wapi mbona hamfanyi kazi yenu ipasavyo? jaribuni kudhibiti baadhi ya wanachama humu hawana staha hasa hawa wenye ID za [HASHTAG]#Member[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Senior[/HASHTAG] Member huenda labda hawajui utaratibu, ila inabidi wajue humu tuliopo Great Thinker waache kuleta ustaarabu instargram na facebook
 
Hebu nipe [HASHTAG]#yako[/HASHTAG] inbobo mie nitakua romantic na nitapenda tuwe tunachat na pia tukiwa wawili tutakua tunaongelea mapenzi mubashara as well as hatutofukua makaburi yako ya nyuma
 
Km Wanawake ndio hawa heri niendelee Kuwa Kada Wa CHAPUTA...
Samahani Upo Wapii nije Nipigie TEA....
 
Age yako please? na wewe umeolewa au yeye peke yake ndio kaoa? uzi wako uko bit complicated,unataka kumuelewa ili iweje na anamke wake?wewe unakua treated kama vile dah hata sijui nitumie neno gani ili usikereke namake staki kukukera
ila focus on something useful,baada ya kupoteza time na yeye angalia future he is not there to stay anapita kama wanavyopita wengine...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…