Mume wa mtu ananitatiza

Huo uandishi ilibidi nijikaze tu nimalize hiyo stori.

Ngoja bibi yetu apite hapa na lile tusi lake pendwa!!!
 
tafuta mwanamke yeyote ambaye ameshawahi kuambiwa kuna hana K tamu.. mnaambiwa hivyo ili muongeze mauno
 
Hebu muweke ktk list ya makonda atueleze hizo pesa anazitoa wapi?
 
wala sihitaji.....nakuonea huruma unavyotumiwa......kiburudisho......jitahidi utafute shughuli ya kukuingizia kipato ujenge maisha yako.......ukahaba hauna ishu siku hizi....tulia na mpenzi wako,,,, ridhika na kipato chake.....ni ushauri tuu...
this is so common,if you have something else to advice please
 
umesemaje?? mwambie akuoe uwe mke wa pili
 
Kipindi cha nyuma kidogo kuna baadhi ya maneno ilikuwa ni ngum sana kuyaandika au kuyatamka lakini siku hizi hata jinsia ya kike wanayatamka. Tunakokwenda ni kubaya zaidi
 
Kipindi cha nyuma kidogo kuna baadhi ya maneno ilikuwa ni ngum sana kuyaandika au kuyatamka lakini siku hizi hata jinsia ya kike wanayatamka. Tunakokwenda ni kubaya zaidi
Unaitwa utandawazi ila naona ni kama ubumbuwazi
 
nenda uwanja wa fisi utakutana na wauzaji wenzio mpeane uzoefu
 
Aliesema wanawake akili zenu mnazielewa wenyewe alikua sahihi kabisa.
 
Hii style ya kufungua new ID na kutuletea story za chumbani, imeshamiri sana

  • Kuna mwingine jana alikuja na ubikira wake, akatuwekea uzi, anataka kutolewa bikira yake humu JF
  • Leo tena wewe unatujaza nyege mchana mchana hapa...
  • Halafu yule mwingine nae new member sijui yupo wapi siku hizi, huwa ana avatar, ya hips kubwa na kitovu nje nje, naona anavuta kasi ya kuja tena...!
 
Hiyo kyuma tamu .tunaweza na sisi kuonja kidogo taste yake ili tujilizishe ..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…