Mume wa Mtu ananitaka

Muonjeshe mara moja ataacha kukusumbua.....iko hivo hata mademu wanaotuganda we hutaki ukimpa show anatulia kabisa
 
Uliowakubali mbona hutupi mrejesho wao? Wanawake banaaa akimkataa anasema akmkubali kimyaaa
 
Mbona Hu sound kama hutaki? ebu mkomalie kike sababu najua mwanamke kama kitu hataki atakweleza mara moja tuu mwanamme harudii tena..
 
Duh..huu Uzi una miaka 6 hapa lakini watu wameushupalia..

Muwe munaangalia na tarehe basi kwa matukio Kama haya
 
Mkubalie tu maana ulionyesha dalili za kukubali tangu mwanzo
 
Mpe tu kwani ataimaliza,kitu chenyewe ulipewa bure.af uzuri huwa haina makombo kama harua,mkimaliza we ipige detol kampe mshikaji wako tena
 
Achana naye bidada rinda heshima yako na ya mpenzio
 
mpe tu,kwani anaondoka nayo?
 
Hii post ya 2010. Sijui alimkubali au vipi. Kama bado mkubali tu dada yangu.
 
Muombe laki tano mwambie mama ako amelazwa una shida ya laki tano au one million my dear hutomuona tena,mm ndo njia yangu ya kufukuza hao mbweha wote waume za watu,au mwanaume king'ang'anizi yaan ukimwambia tu khs hela yaan ata ukimpigia hatapokea.jrb hlf leta mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…