Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,217 Reaction score 27,049 Nov 19, 2019 #61 Kule usambaani kuna kitu kinaitwa "ushinga" sijui "usinga" Huyo anayemgegeda huyo mwanamke mwambie aombee bwana wa mdogo wako asiwe msambaa hahahah Atawekewa usinga akatike vipande vipande Cc@mshana jr
Kule usambaani kuna kitu kinaitwa "ushinga" sijui "usinga" Huyo anayemgegeda huyo mwanamke mwambie aombee bwana wa mdogo wako asiwe msambaa hahahah Atawekewa usinga akatike vipande vipande Cc@mshana jr
Aidanna JF-Expert Member Joined Oct 25, 2019 Posts 1,862 Reaction score 2,937 Nov 19, 2019 #62 House of Commons, Duh watu mna hatari, pole mkuu
Bazazi JF-Expert Member Joined Aug 18, 2008 Posts 2,806 Reaction score 3,524 Nov 19, 2019 #63 Jamani, Bazazi Anapita zake Yanini kuumiza kichwa bure? Kumwazia mtu mjinga zoba Asojua mbivu na mbichi katu Kwake yote heri na fanaka? Kuendekeza ujinga mkuu Kuacha mbachao jamani Kwa mswala upitao upesi? Napita zangu wandugu Bazazi!
Jamani, Bazazi Anapita zake Yanini kuumiza kichwa bure? Kumwazia mtu mjinga zoba Asojua mbivu na mbichi katu Kwake yote heri na fanaka? Kuendekeza ujinga mkuu Kuacha mbachao jamani Kwa mswala upitao upesi? Napita zangu wandugu Bazazi!
DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 23,984 Reaction score 30,871 Nov 19, 2019 #64 Elli said: Aaghh acha chai zako bahan ni wewe mwenyewe, huwezi kusimulia vizuri kiasi hiki useme umesimuliwa aaagh wapi!!! endeleeni tu, sasa mimi nisemeje? Endeleeni yaanii kukojozwa mara nne tu? aaaghh wapi hayuko serious huyo atakua mchaga huyo. Joking Click to expand... Mshauri akaripoti kituo cha polisi kilicho karibu nae. Maana unyanyasaji wa kihisia ni moja ya makosa ya jinai kwenye banana republic
Elli said: Aaghh acha chai zako bahan ni wewe mwenyewe, huwezi kusimulia vizuri kiasi hiki useme umesimuliwa aaagh wapi!!! endeleeni tu, sasa mimi nisemeje? Endeleeni yaanii kukojozwa mara nne tu? aaaghh wapi hayuko serious huyo atakua mchaga huyo. Joking Click to expand... Mshauri akaripoti kituo cha polisi kilicho karibu nae. Maana unyanyasaji wa kihisia ni moja ya makosa ya jinai kwenye banana republic
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,804 Reaction score 196,544 Nov 19, 2019 #65 Wanasikitisha sana... Mwenye kiranga haliliwi... za mwizi 40... Cc: mahondaw
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,389 Reaction score 59,151 Nov 19, 2019 #66 Mwanakulitafuta mwanakulipata..huyo nduguyo yajayo yatamfurahisha... Ampe vikombwezo vyote huyo mume wa mtu..lakini asitegemee mume ataacha mkewe kwa utamu wa huo uchi wake..
Mwanakulitafuta mwanakulipata..huyo nduguyo yajayo yatamfurahisha... Ampe vikombwezo vyote huyo mume wa mtu..lakini asitegemee mume ataacha mkewe kwa utamu wa huo uchi wake..
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,179 Reaction score 34,527 Nov 19, 2019 #67 Slim5 said: Achana nao hao! Wanajisifu kufil ana Click to expand... ππππ
Afisa Mteule Drj 2 JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 3,961 Reaction score 4,663 Dec 12, 2019 #68 Umeamua kuja kunitangaza huku kuwa namtesa mdogo wako
Newword JF-Expert Member Joined Dec 2, 2019 Posts 326 Reaction score 305 Dec 12, 2019 #69 Hawa wake za watu wakiamua kuchepuka bc wajue na kubalance team Sent using Jamii Forums mobile app