Mume wa mtu anamtesa mdogo wangu

Mume wa mtu anamtesa mdogo wangu

Hii inamuhusu mleta mada mwenyewe chief, maana kwajinsi alivyo simulia na alivyo jitanabaisha inaonekana ni yeye ndiye muhusika na kwakuwa anafahamika humu basi ameona aibu kutumia ID yake ninayo ifaham
Hadi kajua kuw akakojozwa mara nne aagahh wapi ni yeye mwenyewe....
 
Unaweza ukaona mkeo anaumwa na humwelewi kumbe amegombana au ameachika na mchepuko wake....

Dunia hii....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😭😭😭😭😭😭😥😥😥😥😥😥😥😥
 
Kama kweli wanapendana basi kila mmoja wao amuache mwenza wake kisha waoane,hao wote ni vicheche tu hakuna mwenye afadhali,Pipa na mfuniko tu hao.
 
Unaweza ukaona mkeo anaumwa na humwelewi kumbe amegombana au ameachika na mchepuko wake....

Dunia hii....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😭😭😭😭😭😭😥😥😥😥😥😥😥😥
Dah..inauma sanaa..kuna moment huwa sielewi elewi ila duh..u just take it easy n let God judge...huu mchezo hauhitaji hasira kabisaa
 
Bora nije kujadili uzinzi na wataalamu wa kuzini, maana upande wa imani maaskofu washanivuruga na mapengo yao 😁😁😁

Enhe, baada ya kumpiga kibuti ndio mbwa akatoroka na jembe, si tuliishia hapo eti?
 
Hayo maandazi yote ni mapya sekta ya uchepukaji. Kama wanapendana waambie waoane uone moto wake.
 
Achilia mbali kufanya mapenzi,Mwanamke akisha kuwa na wazo tu la kuchepuka ni ngumu kumwona tena mume wake kuwa ana thamani,anabaki anakuona kama kinyago tu.

Kuna mwingine niliwahi kumshuhudia akitamani mume wake apewe transfer ili abaki na mchepuko.... Mwanamke akianza kuchepuka anahama kabisa sio kimwili tuu hata kihisia na kiakili. Nasikitika mume wake atakua na wakati mgumu sana
 
Wakutanishe wote WANNE, kisha washauri kubadilishana WENZA.... wa kubana wakabane na wa kupwaya wakapwaye.


Imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom