Mume wa mtu anamtesa mdogo wangu

Mume wa mtu anamtesa mdogo wangu

Kule usambaani kuna kitu kinaitwa "ushinga" sijui "usinga"

Huyo anayemgegeda huyo mwanamke mwambie aombee bwana wa mdogo wako asiwe msambaa hahahah

Atawekewa usinga akatike vipande vipande

Cc@mshana jr
 
Jamani, Bazazi Anapita zake
Yanini kuumiza kichwa bure?
Kumwazia mtu mjinga zoba
Asojua mbivu na mbichi katu
Kwake yote heri na fanaka?
Kuendekeza ujinga mkuu
Kuacha mbachao jamani
Kwa mswala upitao upesi?
Napita zangu wandugu

Bazazi!
 
Aaghh acha chai zako bahan ni wewe mwenyewe, huwezi kusimulia vizuri kiasi hiki useme umesimuliwa aaagh wapi!!! endeleeni tu, sasa mimi nisemeje? Endeleeni yaanii kukojozwa mara nne tu? aaaghh wapi hayuko serious huyo atakua mchaga huyo. Joking
Mshauri akaripoti kituo cha polisi kilicho karibu nae. Maana unyanyasaji wa kihisia ni moja ya makosa ya jinai kwenye banana republic
 
Mwanakulitafuta mwanakulipata..huyo nduguyo yajayo yatamfurahisha...

Ampe vikombwezo vyote huyo mume wa mtu..lakini asitegemee mume ataacha mkewe kwa utamu wa huo uchi wake..
 
Back
Top Bottom