Mama suki pawania
New Member
- Nov 17, 2019
- 2
- 9
Wakuu habari za mihangaiko
Mdogo wangu anenifuata kuzaliwa juzi kati nusu apoteze maisha. Sababu ni mume wa mtu kampiga kibuti.
Huyu mdogo wangu ameolewa na anaishi na mumewe. Alikutana na jamaa ambae ni mume wa mtu kikazi na wapo karibu wanafanya kazi sehemu moja japo department tofauti.
Hawa watu walitokea kupendana sana japo mapenzi yao ya muda mfupi mno na wakajikuta wamefanya mapenzi. Baada ya kufanya mapenzi wakawa kama vile kumbikumbi wamekolea. Huyu mke wa mtu akaanza kumsumbua jamaa akasahau kama jamaa kaoa; mara apige simu mara atume text ikawa fujo mara paap jamaa akabambwa na wife wake.
Jamaa ikabid awe mpole ambembeleze wife kuwa ni wrong number na blaa blaa kibao. Ikabidi jamaa amwambie mchepuko wake kilichotokea na kuwa wawaheshimu wenza wao. Wakakubaliana wakiachana job had kesho tena wakionana kwahiyo wakawa wanachat wakiwa office wakirudi home kila mtu kajikausha.
Sasa juzi kati jamaa hakwenda kazini, yule mdogo wangu baada ya kuona mtu wake hajaja akawa hayupo poa hana raha, na jamaa alishamwambia nikiwa home tusitafutane.
Binti ikabidi awe mpole avumilie mpaka kesho yake. Kesho ilipofika jamaa kaja job akajifanya kumchunia. Jamaa akaanza kumtafuta amueleze kilichotokea hadi hakuja job, binti wivu umemjaa anamwambia ulishindwa hata nipigia simu au text ukanieleza umepata taizo gani unitoe wasiwasi umeamua kukaa kimya? Akalalamika wee
Jamaa akimpigia simu anakata mara hapokei, siku nzima jamaa kamtafuta kamchunia. Jamaa akaona isiwe shida akaamua apige kibuti, akamwambia kuanzia leo mimi na wewe basi, kwasababu sio muelewa na unataka unipande kichwani kama mumeo na maneno kibao.
Mdogo wangu baada ya kuona text ya kibuti akaanza kulia, akarudi home kumbe ana presha bwana ikashuka sana na akapelekwa hospitali akakaa siku nzima hajaamka akiamkaa ni kilio tu.
Baadae wakawa fresh ikabidi nifunge safari nikamuone kwake, nikajaribu kumbembeleza aniambie mimi dada yake na hatufichani vitu. Nikajitahidi kumshawishi mpaka akaniambia haya mambo yake
Sasa jana tena nimeongea naye ananiambia yule jamaa wanaonana ofisini na inavyoonekana bado wanapendana ila kila mtu yupo bize anasubiri mwenzake amuanze. Nikajaribu kumshauri aachane nae yeye ni mke wa mtu atulie na mume wake jibu alilonipa ndo limenifanya nije niandike huu uzi hapa.
Anasema jamaa anajua kumkuna. Tokea ameolewa hajawahi kukojozwa lakini yule jamaa kamkojoza mara 4 halafu anajua kazi balaa alipewa vitu ambayo hajawahi kupewa kwa mumewe tokea amuoe.
Nikamuuliza "vipi jamaa anakupenda au wewe ndo unampenda sana?"
Akajibu "Jamaa ananipenda sana hilo najua sababu nilimpa raha ambazo anasema hajawahi pewa na mkewe". Halafu akawa anasema jamaa anasema mkewe hana ladha huko chini anapwaya lakini kwake inabana. Hahahah watoto hawaaa
Wakuu tunamsaidiaje mdogo wetu? Natamani aachane na huyo mchepuko lakini mambo aliyoniambia yamenipa mawazo nikaona hapa sidhani kama wanaweza achana.
Ushauri kwa wanandoa jitahidini muwaridhishe wake zenu, wakipata hawa mabaharia kama kina @zeroIQ wanajitoa kweli kweli hata ikibidi kuwahonga ili wakidhiwe haja zao
===============
Mchango mwingine

Endelea kumshauri, mwambie atafakari kipi ni faida kati ya kuimarisha ndoa yake na kutafta raha kwa huyo jamaa ambayo ni ya muda mfupi. Be serious unapomshauri, usimbembeleze, nenda kwa ukali, nenda kwa vitisho ( though pretending), mwambie akiendelea utakinukisha utakavojua mwenyewe.
Mwaka jana nilimbebesha binti mimba (God forgive that), ni mtoto wa mtumishi wa Mungu, alijifungua vema. Just last month, akanitumia sms ikadakwa na mrs ila nikalituliza hilo dude kwa hekima. Baadae yule binti nikamwambie uhusiano umekomea hapo, huko huko akaanguka, kwenda hospitali sukali imeshuka baraa. Siku chache zikapita nikakutana nae akiwa na mama yake, akaanguka akapoteza faham. Tukasaidiana na mama mchungaji (mama yake) tukampeleka zahanati. Baadae mi nikawaacha hapo akiwa hajitambui. Mi nilifahamu shida yake, baada ya kupona nilimwambia tena that is the end, kwamba nitampa 100,000 kila mwezi ya matunzo ya mtoto. Tayari kwa sasa ana resience ya kutosha,
What i want to tellm Mwokoe mdogo wako. Really, kama ataendelea siku moja ataingia kwenye shida ya pressure kushuka na kufikia pabaya. Mshauri bila kumpa option ya kuamua yeye. Amua wewe then kama ataonyesha kutoridhika mwambie utakalolifanya asije kukulaumu. Maamzi yako yaegemee kuokoa uhai wake. Na umwambie kabisa kuwa haiwezekani ahatarishe uhai wake kwa ajili ya utamu wa kibaka. Nasema kibaka kwa kuwa yeye ameolewa kwa hiyo michepuko ni vibaka wa ndoa yake anaowatafuta yeye mwenyewe.
That is my sharing