Mume wa mtu ameniacha sijui kwa sababu nafanya kazi mazingira hatarishi!

Nafikiri ungeshukuru MUNGU kwa kuachwa na huyo MUME WA MTU ili fursa iwe wazi ya wewe kupata mume wako;
Piga magoti umshukuru Mungu kwa hilo na umuombe akupatie Mume wako!
 
Huyu mwanaume alikuwa bwana angu sijui ameniacha hata sielewi maana hanipigii tena simu.

Mimi nimemaliza chuo mwaka jana chuo cha ualimu sasa nilikuwa nipo tu nyumbani bila kazi.

Huyu mwanaume ameoa nilikuwa natembea naye ndo alikuwa ananipa pesa ndogondogo za matumizi. Nimetafuta sana kazi mpaka nimechoka mtaani panatisha.Huyu mwanaume aliniambia atanipangia chumba niwe naishi ili nitoke nyumbani.

Kadri siku zilivyoenda nikaona mambo si mambo kunipa hela mpaka tufanye mapenzi ananipa hela elf 20 mwisho elf 30 na mimi nina mahitaji mengi sana. Basi nikaamua kuingia mtaani hapa Tabora mjini kusaka kazi nikawa nimepata kazi ya kuhudumia jiko la kwenye Bar.

Sasa huu ni mwezi wa tatu toka nimwambie nafanya kazi hii hanipigii tena simu.Na mimi hata simtafuti kwa sababu mpaka saivi nimeshaweka ndani kiasi cha laki 5 nasubiria nifikishe milioni moja na mimi nifungue biashara yangu.

Huyu mwanaume yawezekana hataki mimi nifanikiwe au ni makosa mimi kufanya hiyo kazi kwani kuna shida gani jamani?

Sasa mimi nisipohangaika nitapata wapi pesa kama saivi ninaweza kurudi nyumbani na elf 10 kila siku naanzaje kuacha jamani, uzuri hata nikitongozwa sina muda yani naingia kazini asubuhi saa 4 natoka saa 5 huwa muda wa kumsaliti natoa wapi na ninarudi nyumbani.

Hana akili huyu mwanaume kwa kweli hana kabisa akili saivi angeshukuru simuombi hata mia yeye ndo kanuna mjinga tu.

Badala angejipendekeza ningekuwa nampa hata hela ya supu. Na mimi sitishiki tuone mpaka mwisho na hizi chenchi za wateja tamu hata mshahara sikumbuki.

Unafikiri unamkomoa.labda ujue pia alishakusahau ameshapata mwanachuo mwingine.wewe si ushagraduate.umemchosha kwa sababu ulikuwa ni "side food" . Sasa hivi amebadilsiha aina ya demu .kama wewe ni mnene labda wanene wenye mhips kama yako ameshawachoka anatoka na vimodal.labda hii ni meseji pia hata kwa wenzako wa aina yako waliomo humu ndani.mume wa mtu akikuomba papuchi siyo kwamba ana mpango wowote wa muda mrefu na wewe, anakuwa amevutiwa tu na kitu flan maslan mkia au chochote kingine anataka kutest.Wengi ni testa baadaye anapogundua umbo lako la nje zuri lakini yale mambo mengine yaliyompeleke lodge ni hovyo kupindukia hesabu kutelekezwa.wachache sana wanachongaga mzinga kwa nyumba ndogo nao ukiwatathmin sana ni washamba flan hiv au domo zege au umpige limbwata au wenye umri uliosonga au ana stress na mkewe.otherwise wengime wengi ni wale wa chapa ilale.

So wewe pambana na hali yako utoke kivyako.kwanza amekupa akili kwa kukuacha.ndiyo maana umejiongeza.
 
Huyu mwanaume alikuwa bwana angu sijui ameniacha hata sielewi maana hanipigii tena simu.

Mimi nimemaliza chuo mwaka jana chuo cha ualimu sasa nilikuwa nipo tu nyumbani bila kazi.

Huyu mwanaume ameoa nilikuwa natembea naye ndo alikuwa ananipa pesa ndogondogo za matumizi. Nimetafuta sana kazi mpaka nimechoka mtaani panatisha.Huyu mwanaume aliniambia atanipangia chumba niwe naishi ili nitoke nyumbani.

Kadri siku zilivyoenda nikaona mambo si mambo kunipa hela mpaka tufanye mapenzi ananipa hela elf 20 mwisho elf 30 na mimi nina mahitaji mengi sana. Basi nikaamua kuingia mtaani hapa Tabora mjini kusaka kazi nikawa nimepata kazi ya kuhudumia jiko la kwenye Bar.

Sasa huu ni mwezi wa tatu toka nimwambie nafanya kazi hii hanipigii tena simu.Na mimi hata simtafuti kwa sababu mpaka saivi nimeshaweka ndani kiasi cha laki 5 nasubiria nifikishe milioni moja na mimi nifungue biashara yangu.

Huyu mwanaume yawezekana hataki mimi nifanikiwe au ni makosa mimi kufanya hiyo kazi kwani kuna shida gani jamani?

Sasa mimi nisipohangaika nitapata wapi pesa kama saivi ninaweza kurudi nyumbani na elf 10 kila siku naanzaje kuacha jamani, uzuri hata nikitongozwa sina muda yani naingia kazini asubuhi saa 4 natoka saa 5 huwa muda wa kumsaliti natoa wapi na ninarudi nyumbani.

Hana akili huyu mwanaume kwa kweli hana kabisa akili saivi angeshukuru simuombi hata mia yeye ndo kanuna mjinga tu.

Badala angejipendekeza ningekuwa nampa hata hela ya supu. Na mimi sitishiki tuone mpaka mwisho na hizi chenchi za wateja tamu hata mshahara sikumbuki.
Teacher hujui kufupisha (summarize), na umemaliza shule jana tuu....
 
Kwahiyo mpaka akutafute yeye ndio umuone sio mjinga? Kwa haya uliyofanya inaonekana wazi busara huna na hufai kuwa mke mwenye kusisimua
 
Ukimsaliti atakuwa ni msaliti aliyesalitiwa.
 
Kwa maisha yanavyoenda hapa nchini michepuko mingi tumeshaitelekeza kwa sababu dhiki kuu iliyosababishwa na bwana yule.Kwa niaba ya wachepukaji wote tunaomba kutoa taarifa kuwa tukitoka kazini tutarudi nyumbani hata kama wake zetu ni mavuvuzela,au wananuka mdomo tutavumiliana tu.ASANTENI
 
Dah! adi nashundwa nikutukanaje!!
Kwahiyo ulitaka uendelee kuvunja ndoa ya watu?
Kwanini nawe usiwe na mwanaume ambae hajaoa?

Kweli Dunia Tambala Bovu
 
Unadharau ndo maana kakuacha, umepata vipesa kidogo unaongea maneno ya dharau kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom