[emoji108]You gotta understand the difference between real life and the internet
Good luck
duuh mimi mlokole na andunje ndo basi tena, Mungu nione na mimi katika jukwaa hili ssishi kubaguliwa
You never know shemeji[emoji108]
Mitandao hii ni ubatili mtupuuu
Vigezo vyote ni pamoja na dini, sema umepungukiwa na kigezo kimojaHapo kwenye dini ndio shida,ila nina vigezo vyote.
Tuwaachie waislam fursa swala tanoHapo kwenye dini ndio shida,ila nina vigezo vyote.
Vigezo vyote ni pamoja na dini, sema umepungukiwa na kigezo kimoja