Mwanaume, kamwe Usimuaibishe mkeo ikitokea umemfumania

Umewahi kukutana na hayo mazingira au unaonges tu mbele ya platfom mithili ya Mwijaku na Juma Lokole?
Huyu Bwana ameshauri. Hakulazimisha. Hapa anapima manufaa yanayopatikana kwa kumuaibisha mkeo.
Uzoefu unaonesha kuwa wengi wa waliowaaibisha waliachana wakarudiana au walisameheana na wengine waliitumia kama fursa ya mtaji.
Ukibahatika kumpata mgoni wako mtoe mtaji upunguze uchungu.
 
Back
Top Bottom