Mume na Mke...

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,687
Eti mume na mke waligombana, mwanamke akakukusanya nguo zake kwa lengo la kuondoka: Mume akuuliza' unaenda wapi? Mke akajibu "ninakwenda kwa mama yangu." baada ya kusikia hivyo mume naye akaanza kukusanya mizigo yake ili na yeye aondoke. Mke kwa jeuri akauliza: Unakusanya nguo unakwenda wapi? Mume akajibu kwa tabasamu: Nakwenda kwa mama yangu. Mke akauliza' hao watoto wako watabaki na nani? Mume kwa kujiamini: Nao waende kwa mama yao, kama sisi tunavyokwenda kwa mama zetu!
 
Mpoki kuna msemo huwa anautumia kwenye kipindi chao kile cha comedy...
"Kilaza" ni yule mtu anayehamisha kitu jinsi kilivyo kutoka kushoto kwenda kulia. MWISHO WA NUKUU NA KUCHANGIA HOJA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…