Sharo hiphop
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 660
- 104
Mume anamwambia mkewe
"Niambie kitu kitakachonifurahisha na kuniudhi, alafu na mimi nitakwambia"
Mke akasema "una muhogo mtamu kuliko kaka zako wote"
jamaa akamwambia "yaani sina wa kukulinganisha nae mke wangu. Una tunda tamu sana hata mama yako na utundu wake wote hajakufikia!!!" je, unadhani ni nani aliumia zaidi na ni nani alifurahi zaidi?