BIGURUBE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 6,748
- 4,258
amuwezi mwache tu.. alafu huo siyo mchumba sema demu wako unapiga kisela.. at list maika 5
Unajua huyo aneenda kuumizwa ni mwanamke mwenzako? Umri sio issue km kuna mapenzi ya dhati.

Habari wadau. Nina Mchumba wangu ila nimepishana naye Mwaka mmoja. Mimi Mwanaume nina Miaka 27 yeye ana Miaka 26. Je tunaeza kuoana?
Hofu yangu ni ile dhana kuwa wanawake wanazeeka mapema kuliko mwanaume hivyo inatakiwa uoe uliyempita umri mkubwa.

mpaka hapo kasha muumiza kuwaza tu so penzi lishashuka
Sometime haihitajiki hiari sana ili kumpenda mtu, ni kwa sababu ya hiki kizazi cha nyoka, ingekuwa ni enzi zile wazazi wangelazimisha ndoa hapo...siku ni style ya mega ondoka
Habari wadau. Nina Mchumba wangu ila nimepishana naye Mwaka mmoja. Mimi Mwanaume nina Miaka 27 yeye ana Miaka 26. Je tunaeza kuoana?
Hofu yangu ni ile dhana kuwa wanawake wanazeeka mapema kuliko mwanaume hivyo inatakiwa uoe uliyempita umri mkubwa.
kuna raha yake kuwa na mwanamke anayekuzidi umri