Mume na mke wapigana kisa ushabiki.

Mume na mke wapigana kisa ushabiki.

prof.mutunga

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
341
Reaction score
60
Ilikuwa siku ya mchezo wa mieleka jamaa akimshabikia undertaker mke john cena wakawekeana hela kwakweli cena aliposhinda mke kakurupukia kuchukua laki2 jamaa kwa hasira alimpiga tiktaka mpaka mke akazimia kwa mda ladies kuweni makini kuiga wazungu!
 
Mana yule mdada aliumia kweli na alikoma,pia lazima wadada mshabikie kile anachoshabikia mumeo,isije ikawa kama huyu aliyeambulia tiktaka mpaka akaenda kukojoa, unakuta mume cdm limama unajidai ccm, shauri zenu.
 
wanaume mara nyingi tunakua na hasira zisizo na mantiki hivi kwenye mwili wa mwanamke utapiga sehemu gani mbona kila sehemu ni utamu tu!
 
Heheheh...umenichekesha kweeeli
 
wanaume mara nyingi tunakua na hasira zisizo na mantiki hivi kwenye mwili wa mwanamke utapiga sehemu gani mbona kila sehemu ni utamu tu!

mmmmhhh hata pale ni patamu kuliko kule?
 
Mana yule mdada aliumia kweli na alikoma,pia lazima wadada mshabikie kile anachoshabikia mumeo,isije ikawa kama huyu aliyeambulia tiktaka mpaka akaenda kukojoa, unakuta mume cdm limama unajidai ccm, shauri zenu.

Hapo kwenye green tehe tehe teheh
 
Mana yule mdada aliumia kweli na alikoma,pia lazima wadada mshabikie kile anachoshabikia mumeo,isije ikawa kama huyu aliyeambulia tiktaka mpaka akaenda kukojoa, unakuta mume cdm limama unajidai ccm, shauri zenu.

Kwa nini isiwe viceversa?
 
Mana yule mdada aliumia kweli na alikoma,pia lazima wadada mshabikie kile anachoshabikia mumeo,isije ikawa kama huyu aliyeambulia tiktaka mpaka akaenda kukojoa, unakuta mume cdm limama unajidai ccm, shauri zenu.

Hapa sasa una lako jambo
 
wanaume mara nyingi tunakua na
hasira zisizo na mantiki hivi kwenye mwili wa mwanamke utapiga sehemu
gani mbona kila sehemu ni utamu tu!

umeonaee!!!hata mimi huwa nashangaa mwanamke anapigwa wapi na sijapata jibu
 
Kwa hiyo mwanamke hana haki ya kua na hobby?
 
Story hii haina ukweli maana Wanawake hawawezi kuwa Mashabiki wa mieleka ila ka ukweli tu kila nyumba lazima kuwe na upinzani wa chochote maana unaweza kukuta mmoja ni kero mpaka inachusha
Mume anataka asemeeeeeeee na asibishiwe hapo lazima mama amsubiri siku akianguka na ushabiki wake atamcheka au kumzomea kwani hapo Mwanamme kumshushia Migumi ni UONEVU HATA MBELE YA MUNGU

Kuna siku tulisafiri na basi la Railway kutoka Arusha kwenda Dodoma na lilikuwa linapitiliza hadi Iringa
Tulipotoka Kondoa tukasimama Kelema wanakouza vindege vya kukaanga (Quela-quelea)
Mume kwa ushabiki akavitafuna, na kutushauri Basi zima tuvile, mke akamuonya
Mume kwa ushabiki akavinunua Sinia zima na hivi alikuwa wa miraba 4 wote basi zima tulimuogapa hata kuvionja
Mume kufika mbele akaomba basi lisimame anaenda kuchimba dawa hakurudi upesi kumbe anaendesha (Kuharisha) akarudi
Mume kufika mbele Haneti akamuomba Dreva akifika kwenye chaka apaki akachimbe dawa kweli akashuka kuhara
Mume akarudi lakini kufika Mtungutu tena vindege vimemdhuru akaomba tena basi zima tukaguna maana ni pori akashuka na tukapata nafasi ya kumsema wakati hayupo mke akawa anacheka sana na kudai mume ni mbishi kwa kila kitu
Mume kufika tena ndani ya Basi akakuta zogo jinsi alivyovimba tulinywea wote na kukaa kimya
Ni mke tu ndiye aliyeangua kicheko kikubwa na kumwambia si nilikwambia? na wote tukapokea
Kufika Mayamaya Soldier wa Makutupora akaomba kushuka na mke wake na mtoto ili akaharishe na ni usiku!!!!
na ili kufika Kambini ni km bado 15 km lakin kwa tumbo kusumbua ilibidi ashuke tu
My Take Mke huwa hapigwi hata awe na mume km Schwazineger au Samson wa Delillah ndo maana nimesema siiamini mwanamume umpige TIKTAK wa ubavu wako kisa mazungumzo na tunaowashabikia hawatufahamu iwe Siner au Undetaker, Man u au Man City, CDM au CCM, SIMBA au YANGA, PENDA MKEO
 
wanaume mara nyingi tunakua na hasira zisizo na mantiki hivi kwenye mwili wa mwanamke utapiga sehemu gani mbona kila sehemu ni utamu tu!

Mkuu umefanya nimecheka sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom