Mke baada ya kufa, akakutana na mumewe mbinguni, akamwambia,"Mume wangu bora tumekutana tuendeleze mapenzi yetu".
Mume akajibu,"Weee! weee! Ishia hapo hapo, tuliapa kifo ndio kitatutenganisha, huku mbinguni nipo single, na kuna Malaika namfukuzia usije kuniharibia bure".