Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,983
Dawa ya KE ni KE mwenzieWanaume ndo wamekuwa wahanga wakuu wa kugomewa penzi na wenza wao
Unakuta mke na mume wanatoka nyumba moja lakini kumbe humo ndani hakuna kinachofanyika
Yaaani out kabisa kabisaKuna majirani wamezichapa leo balaa na kupelekana kituo cha polisi.Lakini ni watu walioonekana wanapendana vizuri sana.Sababu ni mwanamke kulala Nje bila taarifa
Yaani nje kabisa kibisa au kwenye msiba ndugu. Watu wengine kweli wamepinda aisee.Kuna majirani wamezichapa leo balaa na kupelekana kituo cha polisi.Lakini ni watu walioonekana wanapendana vizuri sana.Sababu ni mwanamke kulala Nje bila taarifa
msiwe mazwazwa kama haumwi arudi kwao full stop...Nini kifanyike tena!
Mchepuko ndio dili
Ata kusema kwako tu kuna onyesha wewe ni mwanafunzi wa dronedrake [emoji16]Kuna majirani wamezichapa leo balaa na kupelekana kituo cha polisi.Lakini ni watu walioonekana wanapendana vizuri sana.Sababu ni mwanamke kulala Nje bila taarifa
je ikiwa vice versa inakuajeKwa uchunguzi wangu mdogo hii imeshakuwa shida kubwa kwa ndoa nyingi sasa.
Watu wangu kadhaa wa karibu wamenilalamikia. Wanaume ndo wamekuwa wahanga wakuu wa kugomewa penzi na wenza wao.
Unakuta mke na mume wanatoka nyumba moja lakini kumbe humo ndani hakuna kinachofanyika.
Inaanzaga mwanamke anakupa yote wkt bado hamjaoana lakini mkifunga ndoa tu anagoma kutoa penzi kwa visingizio vya hapa na pale mara hajisikii mara hayuko sawa.
Sasa namna hii michepuko itaisha kweli?
Wakuu nini kifanyike?
Nje mpenz na Amerudi kamjibu bwana sababu za yeye kulala ni kwa sababu hamrizishiYaaani out kabisa kabisa
Yaani nje kabisa kibisa au kwenye msiba ndugu. Watu wengine kweli wamepinda aisee.
Hakuna jamani,mi naolewa soon
Mhm , kumbe🙄Hakuna jamani,mi naolewa soon
Kwa uchunguzi wangu mdogo hii imeshakuwa shida kubwa kwa ndoa nyingi sasa.