Jamaa alikwenda Bar na mke wake wa ndoa,wakakaa kwenye viti, wakati wanasubiri vinywaji akapita binti mmoja anayejiuza akamsogelea yule mke wa jamaa akamnong'oneza " AKULIPE KABISA NI MGUMU KULIPA HUYOO!!......
hahahahahahahahaaaa hyo kali kweli huyu changu alifikiri na yule mke wa jamaa anajiuza ikabid amwambie achukue chake mapema,.yalaaaaaaaaa hahahahahaha te te te teee. Tobaaaa
hahahahahahahahaaaa hyo kali kweli,, huyu changu alifikiri na yule mke wa jamaa anajiuza ikabid amwambie achukue chake mapema,.yalaaaaaaaaa hahahahahaha te te te teee. Tobaaaa
hahahahahahahahaaaa hyo kali kweli,, huyu changu alifikiri na yule mke wa jamaa anajiuza ikabid amwambie achukue chake mapema,.yalaaaaaaaaa hahahahahaha te te te teee. Tobaaaa
Jamaa alikwenda Bar na mke wake wa ndoa,wakakaa kwenye viti, wakati wanasubiri vinywaji akapita binti mmoja anayejiuza akamsogelea yule mke wa jamaa akamnong'oneza " AKULIPE KABISA NI MGUMU KULIPA HUYOO!!......
Kweli hapo majanga ila jamaa alikosea sana kumpeleka mke wake kwenye viwanja vyake vya madanguro