Mume mwenye HIV+ anahitajika

Mume mwenye HIV+ anahitajika

last fatma

Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
5
Reaction score
7
Ni binti wa miaka 25, ni mfanyakazi katika chuo flani jijini Arusha na pia ninaishi na virusi vya UKIMWI. Changamoto kubwa ninayokumbana nayo ni namna ya kupata mwenza ambaye tutaendana na kuishi kwa matumaini kwako naamini kuugua si kufa bali ni mwanzo wa safari mpya katika maisha mpaka pale Mungu atakapoamua kunichukua kijana wa kiislamu mwenye hofu na Mungu na mwenye kufuata masharti ya hali aliyonayo (asiwe amekata tamaa) anahitajika tuyaanze maisha mapya.

MATUSI NA DHARAU VINARUHUSIWA IN ONE CONDITION "UWE MKAMILIFU"
 
Poooole saaana dada angu usikate tamaa,ungekuwa hauna HIV mm ningejitokeza tujenge familia,,,,,,,,,ila usichoke kumuomba Allah,ntafutie huko chuoni kwako binti mzuri wa kiislamu asiye na HIV tuanze relation mpya
 
''...naamini kuugua si kufa bali ni mwanzo wa safari mpya katika maisha mpaka pale Mungu atakapoamua kunichukua...''
 
Mwanadamu hatakiwi kuwa na hofu na kifo....bali anatakiwa kujiandaa na kifo kwani hakuna ajuaye siku wala saa.....
Ukaribu wa kifo na mwanadamu ni zaidi ya unyayo na sori ya kiatu chake......

Kuumwa na kufa ni vitu viwili tofauti....unaweza ukaumwa na usife unaweza usiumwe na ukafa.....

Expect unexpected.....
 
Mama me naamini uko vzr tu! Kifo usikiogope, wengi hawana vvu na wanakufa kwa malaria, ajali n.k so uwe na amani na naamini Mungu Ana mpango mzuri na ww! Nitafute 0656094194
 
Sa mnampa pole ya nini?
Hongera sana kwa ujasiri ulionao.
 
Pole sana kila la heri na baraka kwenye utafutaji.
 
Ni uungwana pale ambapo mwenzio anakujulisha kwamba ana ugonjwa ambao unaogopwa na wengi kumpa pole. Ingekuwa ana uwezo angependa kubadili hali yake.

Sa mnampa pole ya nini?
Hongera sana kwa ujasiri ulionao.
 
Ni uungwana pale ambapo mwenzio anakujulisha kwamba ana ugonjwa ambao unaogopwa na wengi kumpa pole. Ingekuwa ana uwezo angependa kubadili hali yake.
Inabidi apewe hongera na sio pole! Ni fikra zangu tu! Ameshavuka stage ya pole!
Najua watu wasiopenda kuambiwa pole katika hali hii!
 
Hongera kwa kuwa na HIV!?

Inabidi apewe hongera na sio pole! Ni fikra zangu tu! Ameshavuka stage ya pole!
Najua watu wasiopenda kuambiwa pole katika hali hii!
 
Je asie na HIV ila atapenda kuishi nae au kumuoa hafai
 
Unaweza kupona ndugu yangu naomba uache kujikatia tamaa kiasi kutafuta mmealiye na HIV,ni pm nkushauri namna ya kupona kuanzia saikolojia mpaka kupona kabisaaa kama unaimani lakini?
 
Maradhi yote yanapona kwa idhini ya Allah.ukimuomba sincerely na makosa uliyofanya ukarekebisha utapona completely without occurrences.have faith bibie nitafute +2773 284 7598
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom