Mume mwema

Mume mwema

Dinam

Senior Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
116
Reaction score
28
Nahitaji mume kuanzia 40 na kuendelea, mimi ni single mother nina mtoto mmoja naishi dsm mwenye kunipm tutawasiliana zaidi. Alie serious anipm mkristo kipaumbele zaidi na mcha mungu awe na kazi ili tuweze kusaidiana majukumu
 
mzazi ni mzazi tu mtoto ata conecting people together,kama vip ktk vigezo ungeweka pia aliyezaa pia ili mtoke 0+0=
 
Ukiona hadi nimepost it means najiamini na niliyopost

Ndo nilikua nakusaidia kwamba what if mliachana na huna mzuka nae tena so kama yeye ni bwana mwema aheshimu mawazo yako na akuamini
 
Nahitaji mume kuanzia 40 na kuendelea, mimi ni single mother nina mtoto mmoja naishi dsm mwenye kunipm tutawasiliana zaidi. Alie serious anipm mkristo kipaumbele zaidi na mcha mungu awe na kazi ili tuweze kusaidiana majukumu

Samahani Dada Unahitaji Wanaume 40 au Mwenye Umri wa Miaka 40?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom