Mume mwema huyu hapa

Mume mwema huyu hapa

Prezda

Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
61
Reaction score
9
Kwa ujumbe huu nawajulisha kuwa kama kuna msichana ambaye yupo tayari kuolewa tafadhali ani PM na aweke contact zake for further conversation am so sirious sio matani mke/mume hupatikana popote pale umri wake from 23-30 all the best
 
hata mi naona upo sirious braza...
 
Acheni kucheza na hisia za watu
 
Nasubr marejesho umetapeliwa sh ngap na hujamuonA
 
Kwa ujumbe huu nawajulisha kuwa kama kuna msichana ambaye yupo tayari kuolewa tafadhali ani PM na aweke contact zake for further conversation am so sirious sio matani mke/mume hupatikana popote pale umri wake from 23-30 all the best

I think ni frustration za ukaachwa na mtu uliempenda,,,,,acha jazba mkuu tulia utampata tu mpya ila sio kwa hasira hizi!mtazamo tu
 
Huwa najiuliza sana nikiona mabandiko ya hivi,ni wazi huko pm wanakuja. Wakija 10 au hata tuseme zaidi unachujaje?
 
Yani mwanamke unatafuta humu? eeeeh poleeee....yako mtaani na sehemu zingine si wamejaa? au we domo zege!
 
Mhh mr prezdar unaonekana upo serios sana subir wanakuja wenye kutafuta mume
 
wachaa weee bibi harus mumeo wa ngama npo hapa chukua hzo namba zangu call me 111\112
 
Back
Top Bottom