Hii stori bado haijakamilika vizuri haswa katika kijiwe chetu hiki cha upashkuna...
Ulipaswa uendelee naye huko FB usiishie hapo tu pa kupanga kugegedana...
Hakikisha unafika hadi eneo la tukio, tena hakikisha wewe unakuwa wa mwisho kufika ukiwa umechelewa...
Mpige hilo surprise halafu ndio uje tena utusimulie mwayego...ikiwezekana nenda hata na Gea Habib teh teh
Wenzio huku Tandale kwa Ndevu tumezoea bila kusikia umbea umbea siku haipiti atii...umbea sunna!!!
Kumbe ndio mbinu mnayotimie eee... Nimeelewa!!!
mimi ni msichana ninamchumba ambae tunampango wa kufunga pingu za maisha mwezi wa nne mwaka huu namaanisha kilakitu kimekamilika nivikao vinaendelea tu!!!! kubwa lililonileta hapa juzi nilikua nampima mchumba wangu huyo kama bado anaweza nisaliti hii ni kutokana na kuapa mara kwa mara kuwa hawezi nisaliti na story kibao! juzi nikafungua acount FB nikamuadd kwa jina lingine na picha za mtu mwingine nikachart nae mpaka akapanga promise tukutane ili tugegedane na sifa kibao kanisifia!!! hili jaribio linadhililisha jinsi gani asivyo mwaminifu na hii ni uchumba tu je nikishazaa hata watoto 2 sindio atakua analala nje kabisa nimesikitika na sijui niamue nn kwani tayari vikao vya harusi vinaendelea

miaka wapi nasikia watu wapo mzigoni na picha keshapewa
Teh teh!!!
Da Joi naye ana vibwekaaaa
Lengo la majaribio yako ilikuwa unataka kujua kama mpenzi wako ni mwaminifu au siyo mwaminifu na tayari umejua mimi hapo sioni shida maana kama ni daktari ameshajua mgonjwa wake anasumbuliwa na ugonjwa gani na dawa yake ni ya aina gani baasi! nadhani ushawahi kusoma stori ya paka na maziwa shule ya msingi ndo ilivyo kwa mwanaume mbele ya mwanamke!mimi ni msichana ninamchumba ambae tunampango wa kufunga pingu za maisha mwezi wa nne mwaka huu namaanisha kilakitu kimekamilika nivikao vinaendelea tu!!!! kubwa lililonileta hapa juzi nilikua nampima mchumba wangu huyo kama bado anaweza nisaliti hii ni kutokana na kuapa mara kwa mara kuwa hawezi nisaliti na story kibao! juzi nikafungua acount FB nikamuadd kwa jina lingine na picha za mtu mwingine nikachart nae mpaka akapanga promise tukutane ili tugegedane na sifa kibao kanisifia!!! hili jaribio linadhililisha jinsi gani asivyo mwaminifu na hii ni uchumba tu je nikishazaa hata watoto 2 sindio atakua analala nje kabisa nimesikitika na sijui niamue nn kwani tayari vikao vya harusi vinaendelea
Utupu wa mwanaume kuonwa na mademu wengi sio ishu kuliko utupu wa mwanamke kuonwa na kudinywa na wanaume wengi.
Ndo mana mtoto wa kike akiamka tu asubuhi anavalishwa chupi lakini wa kiume hata mpk saa sita sio ishu.
kwanza pole na kufiwa dearest
pili mwambie asome signature yangu: hakuna mwanaume asiecheat labda kileo wa joyce kiria!