Mume Kuvaa Kanga - Wakati Gani Unafaa?


Mmh? What is your experience on this?
 

Imetulia.

Tuko pamoja Mkuu.
 
1.akina mama mara nyingi nio huwapa waume zao wavae kanga.
2.si tabia nzuri kwa mwanamme kupenda kuvaa mavazi ya kikekike.
3.wakati fulani mkeo akikupa kanga anatarajia uikatae,lakini anashangaa unavyoichangamkia.

Mkuu unaweza kutoa ufafanuzi kidogo kwenye point zote 3.
 


Aiseeeeeeee! Hii Baba yako ilikuwa na ibilisi..........lakini kwa wazee wa zamani ndio alikuwa Kijogoo wa mtaa
 


Hizi za Uso na upper cuts.........sitiii neno hapa
 
kwan wewe unaona atafaa muda gan au co me najua wakat anatoka kupga ki2
 
Wakubwa wenzangu ukimuona kidume kimepiga khanga hiyo ni avatar image! Kwamba any time game inaweza kuchezwa, so far kama umefika ugeni kwa mtu ukaiona hiyo image changanya kwato!
 
Wakubwa wenzangu ukimuona kidume kimepiga khanga hiyo ni avatar image! Kwamba any time game inaweza kuchezwa, so far kama umefika ugeni kwa mtu ukaiona hiyo image changanya kwato!

kwi kwi kwi ,kumbe
 
Nilioa 2005 .... Nimenunua sana khanga kama zawadi,na kama maombi ya msamaha kwa mke wangu.. Madoti kibaooo

sijawahi kuvaa hata mara moja vazi hilo...nadhani ni utaratibu ama utamaduni wa makabila fulani,au watu wa ukanda fulani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…