Mchepuko: baby vipi hilo bwege lipo.
Mke: hayupo katoka
Mume: unaongea na nani?
Mke: baba hebu wacha matani yako hebu kale chakula chako.
Mchepuko: baba yako kaja lini?
Mke: tokea juzi
Mchepuko: ok tukutane pale pale kesho basi baby.
Mke: sawa kesho basi acha nikamwekee chakula baba.
. Kuitana kwa endearments ni nzuri pia, baby, luv and so forth na kutumia majina yenu keeps the relationship fresh, yaani kama ilivyokuwa mwanzoni. I know i love to hear him say my name, but then that's just me!