E Eshat modo Member Joined Oct 1, 2020 Posts 8 Reaction score 2 Oct 1, 2020 #1 Habari zenu Mimi ni kijana wa miaka 22 mpaka 24. Nafanya kazi kweny kampuni fulan Dar es Salam Mwanaume ninaye muitaji awe na umri kuanzia miak 25 mpaka 30. Itapendeza zaidi akitokea Dar au mikoa ya jiran, aliye serious aniPM. Asante
Habari zenu Mimi ni kijana wa miaka 22 mpaka 24. Nafanya kazi kweny kampuni fulan Dar es Salam Mwanaume ninaye muitaji awe na umri kuanzia miak 25 mpaka 30. Itapendeza zaidi akitokea Dar au mikoa ya jiran, aliye serious aniPM. Asante
KANYEGELO JF-Expert Member Joined Nov 12, 2019 Posts 2,293 Reaction score 4,969 Oct 1, 2020 #2 Ngoja waje
Alexander Lukashenko JF-Expert Member Joined Sep 9, 2017 Posts 4,304 Reaction score 10,089 Oct 1, 2020 #3 Samahani sijaelewa umri wako huo.... Ko saiv una mingapi? Au inaenda hivi Asubuhi-22 Mchana 23 Usiku 24.
Samahani sijaelewa umri wako huo.... Ko saiv una mingapi? Au inaenda hivi Asubuhi-22 Mchana 23 Usiku 24.
relis JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 3,429 Reaction score 5,469 Oct 1, 2020 #4 Vipi kuhusu hali yako nyamanyama bado zipo au ushafikia kama Wema Sepenga nijibu nione najifunga vipi makombora.
Vipi kuhusu hali yako nyamanyama bado zipo au ushafikia kama Wema Sepenga nijibu nione najifunga vipi makombora.
K11 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 4,165 Reaction score 13,429 Oct 1, 2020 #5 Mungu akujalie sawasawa na haja ya moyo wako.
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,603 Reaction score 60,862 Oct 1, 2020 #6 ngumu kumeza hii
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,187 Reaction score 20,640 Oct 1, 2020 #7 Ungesema tu unahitaji mume ingetosha,hiyo HIV positive inakuja yenyewe otomatikali
emavalery JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 628 Reaction score 1,249 Oct 1, 2020 #8 User2008 said: Samahani sijaelewa umri wako huo.... Ko saiv una mingapi? Au inaenda hivi Asubuhi-22 Mchana 23 Usiku 24. Click to expand... Umri wa mtu uwezi kuwa 22 mpk 24, anazingua huyo...haeleweki
User2008 said: Samahani sijaelewa umri wako huo.... Ko saiv una mingapi? Au inaenda hivi Asubuhi-22 Mchana 23 Usiku 24. Click to expand... Umri wa mtu uwezi kuwa 22 mpk 24, anazingua huyo...haeleweki
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Oct 1, 2020 #9 Hebu hapo kwenye kijana weka kabisa jinsia yako.maana binafsi naona maelezo haya Ja kuwa clear.edit kidogo. Vinginevyo...Mungu akutangulie ndugu yangu upate hitaji la moyo wako.Amen
Hebu hapo kwenye kijana weka kabisa jinsia yako.maana binafsi naona maelezo haya Ja kuwa clear.edit kidogo. Vinginevyo...Mungu akutangulie ndugu yangu upate hitaji la moyo wako.Amen
Ramo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2018 Posts 1,818 Reaction score 1,827 Oct 2, 2020 #10 Tunakuja mkuu...
Tumbo Chura JF-Expert Member Joined Jul 14, 2020 Posts 221 Reaction score 511 Oct 2, 2020 #11 Hongera kwa kuwa muwazi na kutotaka kuambukiza wengine kwa lazima. Mnaotumia ARV kwa kujificha na kutembea na wasio na maambukizi makusudi MUNGU ANAWAONA
Hongera kwa kuwa muwazi na kutotaka kuambukiza wengine kwa lazima. Mnaotumia ARV kwa kujificha na kutembea na wasio na maambukizi makusudi MUNGU ANAWAONA
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,729 Oct 2, 2020 #12 Chakorii said: Hebu hapo kwenye kijana weka kabisa jinsia yako.maana binafsi naona maelezo haya Ja kuwa clear.edit kidogo. Vinginevyo...Mungu akutangulie ndugu yangu upate hitaji la moyo wako.Amen Click to expand... Kijana mambo?
Chakorii said: Hebu hapo kwenye kijana weka kabisa jinsia yako.maana binafsi naona maelezo haya Ja kuwa clear.edit kidogo. Vinginevyo...Mungu akutangulie ndugu yangu upate hitaji la moyo wako.Amen Click to expand... Kijana mambo?
kunta93 JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 770 Reaction score 1,657 Oct 2, 2020 #13 Vp kwa mtu ambae yuko HIV negative ila yupo tayari kujilipua kama mfuasi wa ISIS,anaeza kuja?
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Oct 2, 2020 #14 Behaviourist said: Kijana mambo? Click to expand... Poa babu
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,729 Oct 2, 2020 #15 Chakorii said: Poa babu Click to expand... Kukuita kijana imekuwa nongwa?Kwani wewe ni mzee?Nilikuwa nimeshakuandalia kuku wangu ila sasa hivi nawala wote,sikupi tena!
Chakorii said: Poa babu Click to expand... Kukuita kijana imekuwa nongwa?Kwani wewe ni mzee?Nilikuwa nimeshakuandalia kuku wangu ila sasa hivi nawala wote,sikupi tena!
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Oct 2, 2020 #16 Kila la kheri
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Oct 2, 2020 #17 Teh Teh Teh User2008 said: Samahani sijaelewa umri wako huo.... Ko saiv una mingapi? Au inaenda hivi Asubuhi-22 Mchana 23 Usiku 24. Click to expand...
Teh Teh Teh User2008 said: Samahani sijaelewa umri wako huo.... Ko saiv una mingapi? Au inaenda hivi Asubuhi-22 Mchana 23 Usiku 24. Click to expand...
bushpat Senior Member Joined Jul 3, 2019 Posts 101 Reaction score 90 Oct 2, 2020 #18 Hahahaha umenifanya nicheke bila sababu ndugu yangu relis said: Vipi kuhusu hali yako nyamanyama bado zipo au ushafikia kama Wema Sepenga nijibu nione najifunga vipi makombora. Click to expand...
Hahahaha umenifanya nicheke bila sababu ndugu yangu relis said: Vipi kuhusu hali yako nyamanyama bado zipo au ushafikia kama Wema Sepenga nijibu nione najifunga vipi makombora. Click to expand...
Waterbender JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 7,913 Reaction score 10,727 Oct 2, 2020 #19 punguza umri kidogo
Lecheminduroi JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 1,183 Reaction score 3,593 Oct 2, 2020 #20 Vipi Hazard CFC ndugu hujaqualify hapa😁😁...