Na chaajabu uso wake ulikua mdogo hata hajafanya kama anavyofanya sikuzote manake nilitulia kama gogo nikamtizama usoni jioni katoka kaenda kununua zawadi ananiletea yaniii..Mawazo yapo kwa the second....
Mwenyewe ishantokea nkamtaja nanii, nlikuwa mdogo siku hiyo na aibu juu.
yani haielekei kabisa eti hakumbuki kama kasema hilojina.
Nimemuliza anasema hakumbuki kusema haya lakini ndani ya nafsi yake inamchokoa sababu unamuhisi kuna kitu kinamsumbua akili yake anawasiwasi kama anafuga nyoka..Uiiiiiiiiw naeza nimng'ate hiyo ni dharau iliyopitiliza ni dalili ya kuchokwa pia...'Vunja ukimya muulize why?
huyo kakuchoka...anakugegeda kwa sababu ni wajibu lakini hisia zipo kwa dem mwengine....chakufanta ni kumnyima maana anakuchafua tuu hapo
Nimemuliza anasema hakumbuki kusema haya lakini ndani ya nafsi yake inamchokoa sababu unamuhisi kuna kitu kinamsumbua akili yake anawasiwasi kama anafuga nyoka..
yani haielekei kabisa eti hakumbuki kama kasema hilojina.
Jamani kutaja jina la mtu mwingine hajuna maana yoyote mbaya. Unajuwa hiyo kitu ikikolea, unaweza ukatamka lolote ukizingatia damu nyingi inahamia huko kwenye kifanyio na ubongo kubaki na kiasi kidogo sana cha damu cha kusavaivu tu.... Hebu nikuulize, wale wanaotukana mama au baba za zao nao mtasemaje? Wanatoka na wazazi wao? Acheni kumshughurisha mwenzenu negatively.....Hiyo ni dharau, hawezi leta masihara kwenye tendo la baraka na kuchafua mazingira. Mkabe akuelezee wazi kwanini anakuteda.
Inawezekana na wewe unatajwa kwingine lakini hujui.... Tukianza kusakana basi kika mtu alipo ajuwe anasakwa... Maana mtu kukutaja wakati wa mechi haina maana kuwa lazima mmebanjuana. Inawezekana uliokoa maisha yake wakati fulani bila wewe kujuwa na hivyo ikakaa kwenye akili yake ya kinana usitegemee hata siku moja kwamba atakwambia anakumbuka kasema hilo jina!hawa wanaume,ni watu wa ajabu sana!ningekuwa mimi wala nisingemuuliza maana najua asingesema ukweli,ila ningemsaka huyo mt
ajwa nimjue,na kujitahidi kadri niwezavyo kubadilisha uchezaji wangu