Sababu na wewe unaweza kuwa unaijua. Mtu akiongea kwa mifano anaeleweka zaidi. Hata wanaotumia Biblia Yesu alifundisha kwa mifano.
Hakuna lazima ya mfano usiokuwa sahihi kwa asilimia zote kufikisha ujumbe.
Sio wadigo wote wanaokuza mambo wala sio watu wa pwani wote wanapenda mipasho ni stereotype tu.
Ni sawa na Mzungu aseme watu weusi wajinga kwa sababu taarifa anazozijua yeye ni hizo au mwengine awe akisema Watanzania mafisadi akichukulia sifa za viongozi wetu.
Licha ya hayo, mifano ya aina hiyo haijengi. Sioni haja ya kufikisha ujumbe directly na kumkera mlengwa wakati indirect ungefika pia na mlengwa angekuelewa

sometimes mtu unakuta yeye ni mzaramo mfano na still anasema
wazaramo kwa ngoma bana....hapo unasemaje???????
Sina tabia ya kumuogopa yeyote bali nina silika ya kuheshimu makundi fulani ya kijamii ambayo hata yakinikwaza, basi nitajitahidi (haijalishi hata kama nitashindwa) kutotoa the same reaction. Kama unazani na-justfy then let me consider myself fool. hata nilivyoku-PM, it was a matter of respect hata kama uta-undermind!
Ila tukumbuke kuna baadhi ya vitu havikubaliki universally
Ndio......including umbea ndo maana watu wakadiriki kuweka mabango hadi nyumbani mwao!!
'Ladies, enter at your own risk' Gheto... ungekuja ungetuambia tuondoe maandishi hayo ?
Nikwambie kitu changu, kimsingi ulichemka, ile nyimbo umeikuta inaimba hukupaswa kuanza mwambia mwenye nyumba abadilishe. angalia ucje ukawa kama wale jamaa wakifika kwenye nyumba za jamaa zao na kuanza shika hiki na kile hasa rimoti na cd... poa .
Kawaida ni kua you can not choose mwenzio aishi maisha gani.... But ukweli unabaki ulooweka hapa ni kweli kabisa kua haipendeza... na thou waweza ona kama wanamsimanga mgeni wao... IMO hio inatoa picha the type of people they are... Hicho kibao says Loads kuhusu Watu wenyewe... mahala wanaishi... attitude towards watu wa nje... Na lack of busara ya kuweza tafakari kua hapo wageni ni aina nyingi na wengine hawastahili kabisa waone huo ujumbe.... as much as they mean it...

Nikuulize Nas,hivi huyo mshikaji wako anaingiahumu mmu,maana kama anaingia mmmmmhhhhh haya.
umeona enh? mbona kuna vibao vingi tu ambavyo vina decent msg?nafikiri Kichwa cha mada hii kingekuwa : MUME NA MKE WANAPORUHUSU UJINGA NDANI YA NYUMBA YAO.
Ninachoweza kusema ni kuwa pamoja na kuwa ni maisha yao binafsi lakini kama mmeshibana alipaswa kuelewa kuwa 'sebule' yake mara nyingi huweza kutoa picha halisi ya mtu kama yeye. Mfano, kwa kibao hicho Mimi ningetafsiri kuwa nyumba hii imezoea mambo ya 'uswahili' sana; na ni sawa na vile vya NYUMBA HII INALINDWA NA DAMU YA YESU au vile vya dini ya kiislamu na vya aina hiyo nitachukulia kuwa ni nyumba inayoamini dini au kile cha Mgeni wetu karibu Tena nitachukulia kuwa ni familia ya watu wakarimu. Sasa hii ya Ukija Uje na Yako, sijui ya hapa uyaache mwee kwanza kitanifanya nihisi nyumba hii ina vimbwanga kufa mtu, ngumi kati ya mke na mume ni kwa kwenda mbele, kuna panya buku wanaoovertakiana na kupigana pasi kila mara, kuchafu yaani na kila kitu ambacho mtu wa nje akikijua ni aibu ndio maana nataadharishwa nikiingia niingie na yangu na nikitoka ya kwao niwaachie.