Ni
ndugu yangu huyu mwanamume, ilikuwa hivi.
Kuna baba mmoja anakaa maeneo huko walipo (Mombasa) Dar, wote Mume na
mkewe Ofisi zao zipo posta mpya Dar, sasa jamaa (Mgoni) kila siku saa
kumi anawapitia kwenda kazini (Kumbuka foleni za Dar) sasa Kumbe hyu
mgoni anamla mke wa ndugu yangu kimya kimya.
Ilikuwaje?
Mke wake alimwambia shoga yake juu ya uhusiano wake na huyu mwenye gari,
shoga akamwambia mume wake rafikiye, na akamwambia ukitaka uamini
chukua simu ya mkeo ambayo huwa anaweka juu ya Kabati then uone
kilichomo.
Kweli mwanaume akaja, kuangalia juu ya kabati cm hiyo, akaichukua, kumbe
cm ina password, Mwenye mke akairudisha juu pale, akampigia mtonyaji
wake cm, "simu ina password" shoga akamwambia ingiza kipe.....jamaa
akaingiza, mara huyo Gallery, alichokiona ni aibu kubwa, mkewe kapiga na
kupigwa picha akiwa uchi.
Kama bahati ya Mungu vile, mara "message" "kesho tukutane pale pale
guest saa 9....aga kwamba unaenda kwenye kikundi chenu"
Mume akamjibu kuwa "sawa usichelewe my dear, I love you"-----Mgoni
akajibu "I love you too my wife"
Mke kuingia ndani tu toka bafuni, akaitwa, kaa hapo, akakaa, huyu ni
nani na unamahusiano gani naye?
Nataka nikupige leo mpaka usahau ulipotoka, (kumbuka mwanaume ni wa
Musoma, mke ni wa iringa)
Mke akaanza kulia sana na kuomba msamaha sana....alipewa kibao kimoja tu
mkojo ukaanza kuchuruzika.
Mume akamuuliza chagua kati ya mm au huyu Malaya wako, mke akajibu "wewe
mume wangu".
Mume akaitumia hiyo fursa vizuri, akamwambia soma message hizi, kesho
utatangulia kwenda guest hiyo then mimi nitakuwa nyuma nataka nimpe
adabu...upo tayari? mke akakubali.
Kesho yake kila mmoja akajiandaa, mara jamaa akatuma sms baby upo wapi?
Mume ndiye alikuwa na cm akamjibu nipo njiani nakuja baby (kumbuka mume
ilibidi achukue cm zote mbili za mkewe.
Mume akavaa koti ndefu ndani kaweka panga.
Mke akafika guest ndani ya chumba walichozoea kuingia na ambacho
alimwelekeza kwenye sms.
Dakika 7 baada ya mke kuingia chumbani mume akafika MAULIZO akapelekwa
mlango ukagongwa, mke akaja kufungua.
Mume akachoma ndani hapo vulumai likaanza mgoni hapo hapo akatoa Milioni
1 akampa mwenye Mke
Mwenye mke akachukua akaweka mfukoni akampa kipigo kitakatifu bila
huruma then akamuacha aende sasa home mke alianza kupokea kipigo kama
kawaida.
Ila mke alisamehewa.
Tuwe Makini.