O OIL CHAFU JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 996 Reaction score 776 Jun 11, 2015 #1 kichwa cha habari hapo juu chajieleza chenyewe, jisomee mwenyewe hiyo attachment uone madudu. Huyo ni mwanafunzi wa chuo kikuu kaandika paper hapo na anataka apewe maksi. Kumbe cuba iko africa.
kichwa cha habari hapo juu chajieleza chenyewe, jisomee mwenyewe hiyo attachment uone madudu. Huyo ni mwanafunzi wa chuo kikuu kaandika paper hapo na anataka apewe maksi. Kumbe cuba iko africa.
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 Jun 11, 2015 #2 Hii ni zaidi ya hatari
D Descartes JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 2,765 Reaction score 1,664 Jun 11, 2015 #3 Ndio maana ameitwa mwanafunzi. Bado anajifunza...
I INSONSILE JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 1,938 Reaction score 2,904 Jun 11, 2015 #4 Descartes said: Ndio maana ameitwa mwanafunzi. Bado anajifunza... Click to expand... Kwa hiyo mpaka chuo kikuu kujua tuu kuwa Cuba iko wapi bado anajifunza tuu? hahahahaha!!! Sawa na mtoto wa miaka 15 bado anatambaa
Descartes said: Ndio maana ameitwa mwanafunzi. Bado anajifunza... Click to expand... Kwa hiyo mpaka chuo kikuu kujua tuu kuwa Cuba iko wapi bado anajifunza tuu? hahahahaha!!! Sawa na mtoto wa miaka 15 bado anatambaa
D Descartes JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 2,765 Reaction score 1,664 Jun 11, 2015 #5 SIPIYU30 said: Kwa hiyo mpaka chuo kikuu kujua tuu kuwa Cuba iko wapi bado anajifunza tuu? hahahahaha!!! Sawa na mtoto wa miaka 15 bado anatambaa Click to expand... Mkuu,kuna wanafunzi wengine hadi katika ngazi ya chuo kikuu, wapo ili kukuwa tu...
SIPIYU30 said: Kwa hiyo mpaka chuo kikuu kujua tuu kuwa Cuba iko wapi bado anajifunza tuu? hahahahaha!!! Sawa na mtoto wa miaka 15 bado anatambaa Click to expand... Mkuu,kuna wanafunzi wengine hadi katika ngazi ya chuo kikuu, wapo ili kukuwa tu...
C czleinc. New Member Joined Jun 11, 2015 Posts 3 Reaction score 1 Jun 11, 2015 #6 Mtu kutojua Cuba iko wapo peke yake hakumaanishi hajui kitu, you can't know everything about everything!
Mtu kutojua Cuba iko wapo peke yake hakumaanishi hajui kitu, you can't know everything about everything!
M Madam Mwajuma JF-Expert Member Joined Sep 13, 2014 Posts 7,076 Reaction score 6,774 Jun 11, 2015 #7 mbona kawaida hyo yawezekana maeneo mengine yoote anayajua kasoro cuba inategemea pia anasoma masomo gani mkuu A yenyew inaanzia 80-100
mbona kawaida hyo yawezekana maeneo mengine yoote anayajua kasoro cuba inategemea pia anasoma masomo gani mkuu A yenyew inaanzia 80-100
M Madam Mwajuma JF-Expert Member Joined Sep 13, 2014 Posts 7,076 Reaction score 6,774 Jun 11, 2015 #8 kwanza huyo mwalimu kacoment "nonesense" ndiye anapotosha wanafunzi aisee is not a good teacher