tcu wangeruhusu yeyote aliyepata chuo iwe kwa single admission au multiple admission waende wakaripoti chuo wanachokipenda. pia vyuo viwasajili wanachuo hata bila ada kwanza. baada ya hapo vyuo vitume majina tcu kwa ajili ya kupelekwa bodi ya mikopo.....
Awaombe wamrudishie mkopo UDSM simple tuKuna mtu pia namfaham, mwanzo aliomba vyuo kama 5, MUM, UDSM, UDOM, SAUT na SUA but huwez amini karibu vyuo vyote hapo alikosa kasoro MUM, na yeye matamanio yake ni kusoma either UDSM au UDOM, So akaamua kuomba tena katika vyuo 3, UDSM, UDOM na MWL NYRR hapo alifanikiwa kupata vyote. Ali confirm UDSM but after HELSB kutoa majina alifanikiwa kupata katika 2nd BATCH ila mkopo wake ulipelekwa moja kwa moja MUM,..
Yaan had nw hana raha kabisa aiseeeee, cjui hii inakuaje jaman...
Ndio anafatilia sasahivi HELSBAwaombe wamrudishie mkopo UDSM simple tu
Hapo ndo ujue kuna upendeleo. Kwa kawaida heslb hawapaswi kupanga mikopo mpaka wapate majina toka TCU. Na TCU hawawezi kupeleka jina Heslb kama bado lina mgogoro wa multiple allocation. Sasa huyo jina lake lilipelekwaje heslb wakati bado hajatatua suala LA multiple allocations!Kuna mtu pia namfaham, mwanzo aliomba vyuo kama 5, MUM, UDSM, UDOM, SAUT na SUA but huwez amini karibu vyuo vyote hapo alikosa kasoro MUM, na yeye matamanio yake ni kusoma either UDSM au UDOM, So akaamua kuomba tena katika vyuo 3, UDSM, UDOM na MWL NYRR hapo alifanikiwa kupata vyote. Ali confirm UDSM but after HELSB kutoa majina alifanikiwa kupata katika 2nd BATCH ila mkopo wake ulipelekwa moja kwa moja MUM,..
Yaan had nw hana raha kabisa aiseeeee, cjui hii inakuaje jaman...
hilo ni suala la chuo husika. pia linatatulika...Kumbuka kuna limit ya number ya wanafunzi kila chuo ikifikia hawawezi kuzidisha