Multiple deaths reported at shooting in Munich shopping mall

Hivi wewe kiumbe una umri gani? Isije ikawa napoteza time yangu kukielewesha kitoto cha Shule? NATO ni nini na EU ni nini? Angalia masomo yako kwanza ukimaliza shule haya mambo utayakuta tu.
Naona umeanza mipasho sasa mi sio wa hivyo.
Anyway sishangai ndio nyie hata Marekani mnaita Ulaya.
 
Germany wata regret kuwakaribisha watu waliofunzwa imani Kali hawana chakupoteza aisee
Hujui lolote maskini wa kifikiri wee (brain washed na media).

Just for your information: Waislamu wapo hapo German tokea zamani sana hasa Waturuki na waarabu kutoka north Afrika. Pia aliofanya attack hiyo ni mtoto wa shule aliozaliwa hapo hapo German (mwenye asali ya Iran), inasemekana ana matatizo ya akili (zipo medical reports zake kutoka Hospitali ya wehu).

Ama kweli wajinga ndio waliwao.
 
We umejuaje kama c waislam?wenyew wajeruman wanasema ni muislam mwenye asili ya iran
Aliofanya attack hiyo ni mtoto wa shule aliozaliwa hapo hapo German (mwenye asali ya Iran), inasemekana ana matatizo ya akili (zipo medical reports zake kutoka Hospitali ya wehu).

Ama kweli wajinga ndio waliwao.
 
Huyu ni mjerumani kazaliwa ujerumani. Kalelewa ujerumani. Na familia yake sio watu wanaofuata misimamo ya dini. Wacheni propaganda.
Pia ni mtoto wa shule mwenye matatizo ya akili (zipo medical reports zake kutoka Hospitali ya wehu).

Ama kweli wajinga ndio waliwao.
 
Aliofanya attach hiyo ni mtoto wa shule aliozaliwa hapo hapo German (mwenye asali ya Iran), inasemekana ana matatizo ya akili (zipo medical reports zake kutoka Hospitali ya wehu).

Ama kweli wajinga ndio waliwao.
Sijaelewa mkuu ameattach kitu gan kwenye nn hapo munich?au umekosea ulikua hunijib mimi? Maana cjaongelea habari yoyote inayohusu attachment mkuu
 
Sijaelewa mkuu ameattach kitu gan kwenye nn hapo munich?au umekosea ulikua hunijib mimi? Maana cjaongelea habari yoyote inayohusu attachment mkuu
Namaanisha ATTACK, nadhani umeelewa.
 
Yeye ni Dual-Citizen Iran/Mjeremani sasa Iran si ni walewale tu waliokunywa uji wa mgonjwa.Huyo ana chembechembe za kuua watu, maana ndiyo zao hizo To shed Inocent blood.

Wenye chembechembe za kuua ni wale wazungu walio anzisha World war 1 and 2 na kuua mamilioni ya watu, pia Wenye chembechembe za kuua ni wale wazungu waliouwa mamilioni ya Wajapani kwa nuclear bomb huko Japan, Wenye chembechembe za kuua ni wale wazungu waliouwa mamilioni ya Wayahudi huko Europe, Wenye chembechembe za kuua ni wale wazungu walioivamia Iraq, Afghanistan na Libya na kuua mamilioni ya Waislamu bila ya hatia yeyote.

Wenye chembechembe za kuua ni wale wazungu kila kukicha wanafikiria namna ya kutengeneza silaha mpya zenye kuuwa watu wengi zaidi.....

TAFAKARI.

USIKUBALI KUWA MJINGA.

Hizi propaganda za media za kimagharibu zina kutoa akili. Wajinga ndio waliwao. Shukran.
 
Mahmood hivi ukiwa mwarabu ndiyo unakuwa mbishi kama shetani??mbona inaonyesha una macho lakini huoni na una Masikio lakini hata redio za mbao husikii??Una pua lakini hunusi uharo unaotoka kwenye nchi za waarabu???
 
Sura yake tu inaonyesha ana hamu ya kumwaga damu za watu wasio na hatia,ni kweli anaweza kuwa hakushirikiana na ISIL lakini damu yake ina chembechembe za kiuaji,nimeshasema waarabu na hao Iran ni walewale tu kwenye damu zao kuna chembechembe za kiuaji.
 
Aliofanya attack hiyo ni mtoto wa shule aliozaliwa hapo hapo German (mwenye asali ya Iran), inasemekana ana matatizo ya akili (zipo medical reports zake kutoka Hospitali ya wehu).

Ama kweli wajinga ndio waliwao.

Ili kuficha uovu huo mmeamua kumbatika ukichaa ili iwe Loophole kwenu?????
 
Hawa waislamu hawaishiwi visingizio mara US mara Israel Mara nchi za magharibi mara Media za magharibi mara wanatusingizia.Ujinga mtupu wenye akili tunajua kila kitu
 
Huu ni ujinga mtupu kwani wajerumani hapa Tanzania waliua waislamu tu???Hivi ukiwa mwislamu ndiyo unakuwa Bingwa wa kulalama???
 
Aliofanya attack hiyo ni mtoto wa shule aliozaliwa hapo hapo German (mwenye asali ya Iran), inasemekana ana matatizo ya akili (zipo medical reports zake kutoka Hospitali ya wehu).

Ama kweli wajinga ndio waliwao.

Eti mwehu!!
 
Huu ni ujinga mtupu kwani wajerumani hapa Tanzania waliua waislamu tu???Hivi ukiwa mwislamu ndiyo unakuwa Bingwa wa kulalama???
Huu ni ujinga mkubwa mtu kusoma kitu katikati ungeanzia mjadala ulipo anzia ujinga wako usingeonekana.
 
Huu ni ujinga mkubwa mtu kusoma kitu katikati ungeanzia mjadala ulipo anzia ujinga wako usingeonekana.

Wewe ulianzia mwanzo ungelifafanua nikaelewa kuliko kuujulisha Ujinga wako hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…