Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 10,766
- 22,137
Aisee primary nilizichapa na watu wengi mnoo, nakumbuka kuna pambano tulidumu kwa masaa 2 ngoma haijaisha 😀😀. Yaani nilijikutaga napenda sana ngumi sometimes mpaka unatamani uzichape na fulani ila ndo ivo sikua mkorofi, ila ukinigusa tu aisee sijiulizi mara 2 kuingia ulingoni.
Hiyo ni kutoka sijaanza shule mpaka std 6 nikaacha kabisa ugomvi nikawa sharobaro😂😂.
Hiyo ni kutoka sijaanza shule mpaka std 6 nikaacha kabisa ugomvi nikawa sharobaro😂😂.