makandokando JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 299 Reaction score 21 Jun 23, 2011 #1 Wakuu, nimesikia huu msemo sana hivi karibuni....ila sifahamu maana yake. Hivi huu msemo umetokana na nini, na maana yake nini? Mulika Mwizi!
Wakuu, nimesikia huu msemo sana hivi karibuni....ila sifahamu maana yake. Hivi huu msemo umetokana na nini, na maana yake nini? Mulika Mwizi!
Watu Platinum Member Joined May 12, 2008 Posts 3,231 Reaction score 1,472 Jun 23, 2011 #2 Jibu hilo YouTube - Mulika Mwizi -- Kidum Ft. Sana
makandokando JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 299 Reaction score 21 Jun 23, 2011 Thread starter #3 hahahah...poa, nimeisikiliza, sasa nimeelewa.....asante mkuu
N Nyangaluda Senior Member Joined Dec 28, 2010 Posts 100 Reaction score 49 Jun 23, 2011 #4 hata mm hiyo nilikuwa bado sijaipata!
Mkaa Mweupe JF-Expert Member Joined Jun 29, 2007 Posts 654 Reaction score 187 Jun 23, 2011 #5 ahkhaa! mulika mwizi mana yake ni nokia ya tochi!
Safety last JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 4,242 Reaction score 1,430 Jun 23, 2011 #6 Wimbo mzuri sana kutoka kwa kidum