makongora makongors
Member
- Jan 2, 2014
- 94
- 18
jimbo la muleba kusini linaitaji mbunge wa kutoka ukawa sio ccm tena wakati napitapita leo kwenye vijiwe vyakaawa nikakuta mwenyekiti wa ccm wa wilaya ya muleba ndugu muhaji akizungumza na wanywaji wa kaawa wakimuuliza maswali juu ya kutangaza nia yake ya kugombea ubunge jimbo la muleba kusini anasema kuwa wananchi wanaitaji ukombozi kwamba mbunge wa chama chake ameshindwa kuwatumikia wananchi nikajiuliza kama mbunge wa chama chake kashindwa yeye ataweza ? wananchi wanaitaji mabadiliko kupitia ukawa sio ccm