Muleba, Kagera: Walinzi wanaosemekana ni wa Suma JKT waua mtu kwa risasi karibu na Guest House

Nani hana hiyo belt?
Ninayo toka 90 ila kukabwa kimtaani imo tu.
Wakikulia timming basi.
Nshapigwa roba kanisani migo wakalamba mpunga wote sa 10 asubuhi.
Nikawarudia mmoja mmoja na hela walitapika na nikawapora tena hata walizoiba kwingine.
Mkuu yani leo nazionea mbavu zangu huruma. Humu JF jamani ebu pitia hapo kwa mangi agizia chochote nitapitia na Renji yangu kulipiza.

Dah Maxence Melo thanks for this platform you really help us notorious stress challengers.
 
Umeshaona movie ya drunken master wewee? Mimi nina Black belt. Mafunzo yetu ni tofauti. Niwe nimelewa au nimelala ukanivamia huwezi niondoa kizembe. Ndo maana nimesema zali kama hizi kila siku naomba natamanigi zinitokee tena nalazimishaga wapiii.

Mfano nalewaga maksudi na kukatiza mitaa usiku mburahati, temeke mikoroshini, keko magurumbasi kule wanapiga kabali na mbao, tandika, buguruni yani napishana nao tu wananipita moyoni najisemea tu si walianzishe tu jamani lakini wananipotezea. Mimi siwezi kulianzisha kwasabab ya kiapo nilichokula hadi nichokozwe kwanza halafu kumbuka hapo nimelewa .

Pia nalalaga mlango wazi maksudi kwenye chumba changu cha kupanga uswahilini kitunda. Lakini wanawavamia wengine kwa kuwavunjia mlango mimi wananikwepa. Sasa zile kelele za mikikimikiki na purkushani na yoweee za msaada zinaniamsha basi kimoyo moyo nasema si waingie tu jamani kumbuka mlango huko wazi lakini wapi.

Mwanaume hutakiwi kusingizia pombe na kulea kushindwa. Yani sisi tunaohodhi black belti tukiwa tumelewa Ndo tunakuaga hatarii sana kwa kuutembeza mkono.

Cheki hapo chini maamae

Chai hii 😁😁

Nyie wenye black belt hebu piteni hii mitaa ya Keko Machungwa , Keko akida na Keko Magurumbasi tuone black belt !! Roba unapigwa vizuri tu , we utajua muda utakao watafuta mmoja mmoja uwapige ila ile timing
 
Mkuu yani leo nazionea mbavu zangu huruma. Humu JF jamani ebu pitia hapo kwa mangi agizia chochote nitapitia na Renji yangu kulipiza.

Dah Maxence Melo thanks for this platform you really help us notorious stress challengers.
Mbwai mbwai tu mkuu,walikua wa3 .
Roba ya mbao za misumari wakaniibia na kunibwaga mtaroni.
Nikazimika .
Bahati nzuri liubao waliliacha.
Nikabeba nikarudi nalo home.
Nikapata point walipouza vitu nikalengeshwa.
Lile lile liubao walilonikaba nalo niliwatengeneza vizuri tu.
 
Mtu mmoja ambae majina yake hayakuweza kufahamika kwa haraka,. Ameuawa na walinzi wanao semekana ni walinzi wa Suma JkT ambao wanatenda ya kufanya ulinzi kata ya Nshamba karbu na Gest House ya aliyewai kuwa mbunge, serikali ya awamu ya tatu na ya Nne ndugu Wilson Masilingi.

Chanzo Cha kifo hicho inasemekana mtu huyo alitoka bar akiwa amelewa akakutana na walinzi hao wakiwa na silaha hawakutaka hata kumuhoji kujua mida hiyo alikuwa anatoka wapi?na anaenda wapi wao wakifika na kimmiminia risasi mithili ya njugu na kupelekea mauti.

Kwa kuwa tukio ilo lilitendwa na kampuni ambayo ipo chini ya jeshi tukio linafunikwa funikwa Ili kupoteza ushahidi.

Kwa kifupi walinzi wa Suma JkT wamejigeuza wauaji kwa kuua watu wasio na hatia mara kwa mara, jambo ilo limewajengea heshima kubwa wanaogopwa Sanaa na kwa kweli kwa mkoa wa kagera mathalani kata ya nshamba kwa mhe Masilingi uwezi amini wale wahaya pamoja na ujeuri wao eti wanatishwa na Askari hao na kupelekkea wananchi kuishi kwa off kubwa.

Wakiongea kwa nyakati tofauti wananchi wamelalamikia walinzi hao kwani tukio Ili sio la kwanza ni wakorofi sana.

Nina imani kamati ya ulinzi ya wilaya hapo mna jambo lenu.
Kuishi kwa off kubwa, nakazia tyu jaman

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Nani hana hiyo belt?

Ninayo toka 90 ila kukabwa kimtaani imo tu.

Wakikulia timming basi.

Nshapigwa roba kanisani migo wakalamba mpunga wote sa 10 asubuhi.

Nikawarudia mmoja mmoja na hela walitapika na nikawapora tena hata walizoiba kwingine.
Ilikuwa mwaka Gani? Uliwarudia baada ya Muda Gani mkuu? Usiku huo Huo au Kesho yake?
 
Hii habari haijakamilika na imekaa kimbea, mlinzi hawezi kummiminia risasi kama njugu mlevi kama ulivyoelezea tena bila sababu.

Nenda kajue chanzo cha tatizo kwa kina kisha urudi kutuhabarisha
Kweli Mkuu! Habari haijakamilika.
Alikuwa anapita njiani, alikuwa anawanyang'anya silaha, nk.
Ilikuwa usiku wa saa ngapi? Na alitoka baa gani?
 
Back
Top Bottom