MULA watatuumiza sana watanzania

MULA watatuumiza sana watanzania

Alex Xavery

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
230
Reaction score
197
Nimepewa taarifa na jamaangu kuwa kuna kampuni inatoa huduma ya manunuzi ya luku na ving'amzi inaitwa Mula, nimefuata menu yao *150*78#, salio langu la M-PESA limekatwa na bado wananiambia manunuzi yameshindikana, nimepiga simu yao ya huduma kwa wateja namba 0755400006 haipokelewi na mara nyingi inakuwa busy. TCRA waokoe jahazi hili mapema sana iwezekanavyo.
 
Ushaambiwa Kampuni inaitwa "MULA" yaani Fedha....Wametumwa MULA.
 
Back
Top Bottom