Ulijua Mula Muhammad wa Afghanistan kwenye Milima ya Toh-rabolaMm niwaombe tu ndugu zanguni, tuwe tunajipa muda kufuatilia umakini, ufanisi na ubora wa huduma zinazotangazwa na makampuni mapyq kqbla ya kuanza kuzitumia.
Jina tu Mula...! Mm nikajua ni gaidi fulani hivi toka Afghanistan.
Duh, haya buana.Mm niwaombe tu ndugu zanguni, tuwe tunajipa muda kufuatilia umakini, ufanisi na ubora wa huduma zinazotangazwa na makampuni mapyq kqbla ya kuanza kuzitumia.
Jina tu Mula...! Mm nikajua ni gaidi fulani hivi toka Afghanistan.
Basi ni tahadhari kwa wengine au mula waje na solutions za malalamiko ya wateja. 24hrs bado buku yangu sijapata, nimewachukia kwelikweliKikubwa ni kuepuka mteremko wa Tanzania tunapenda mteremko sana bila kuchunguza athari zake Serkali yetu ipo kwenye Siasa masuala ya msingi kama haya hawayaoni wanaichi wanaibiwa mchana kweupe hakuna msaada
Yaani ndiye aliyekuja fasta kwenye fikra zanguUlijua Mula Muhammad wa Afghanistan kwenye Milima ya Toh-rabola
Mkuu unaweza kuelezea kidogo kwa wasiojua kama mimi, ni kwanini mnunuzi atumia middle man kama huyu? Hakuna uwezekena wa kununua moja kwa moja? Kuna faida gani ya kuwatumia bila kununua moja kwa moja?Kikubwa ni kuepuka mteremko wa Tanzania tunapenda mteremko sana bila kuchunguza athari zake Serkali yetu ipo kwenye Siasa masuala ya msingi kama haya hawayaoni wanaichi wanaibiwa mchana kweupe hakuna msaada
Nakusupport mkuu. Mi pia huwa nawatumia coz siwezi kila mara kukumbuka namba ya Dstv na Startimes except ya LUKU hii naijua vizuri.Hapana si wezi hata kidogo. Na wangekuwa wezi hata hiyo risiti wasingekupa kuthibitisha kuwa umewalipa kiasi hicho cha fedha.
1. Mimi nimewahi kununua umeme mara mbili kupitia huduma hii. Mara ya kwanza walichelewa sana mpaka nikaamini kuwa nimeibiwa lakini baadaye walinitumia tochen yangu. Mara ya pili walikuwa fasta sana.
2. Nilichowapendea hawa jamaa (nisiowafahamu) ni kwamba ukishatumia manue yao mara moja kumbukumbu zako zinabaki mfano huitaji tena kunakili namba ya luku yako ama kingamuzi chako. Ukianza tu malipo unakuta tayari namba zako zipo kwenye list unachagua tuu.
3. Niachokiona kwa hawa jamaa, bada hawajawa vizuri kimfumo kuweza kuendana na kasi ndio maana matatizo kama hayo ya kuhisi kuibiwa yanatokea pale huduma inapochelewa ama kwa bahati mbaya mtandao ukashindwa kuchanganuavizuri.
4. Kwangu naona kama wakiweza kutatua hizo changamoto watakuwa ni moja kati ya watoa huduma wa kidigitali bora kuliko wote. Tanzania. Yawezekana wameleta changamoto mpya kwenye soko na wanakupamba na vita ya kibiashara na watangulizi wao
Hawa jamaa nafikiri wanapata commission kutoka kwenye makampuni yanayouza mija kwa moja coz vifurushi gharama ni zile zile kama watoa huduma wengine hawaongezi hata senti moja wa kupunguza.Mkuu unaweza kuelezea kidogo kwa wasiojua kama mimi, ni kwanini mnunuzi atumia middle man kama huyu? Hakuna uwezekena wa kununua moja kwa moja? Kuna faida gani ya kuwatumia bila kununua moja kwa moja?
Hahahah Umenikumbusha Mbali SanaUlijua Mula Muhammad wa Afghanistan kwenye Milima ya Toh-rabola