Mukwala Vs Ateba

Mukwala Vs Ateba

Ateba analaumiwa bure, mchawi ni kocha wa Simba na wachezaji wake wanaotaka kufunga. Kibu akipata mpira anawaza kupiga chenga utafikiri anacheza peke yake, Ahoua naye anawaza kufunga unakuta Ateba akipa mpira kazungukwa na wachezaji watatu bila msaada wowote halafu unataka afanye maajabu gani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom