Mukoba wa cwt ndani ya 360 ya clouds

Mukoba wa cwt ndani ya 360 ya clouds

balimar

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
7,880
Reaction score
13,932
Ndg. walimu jamaa yetu yupo clouds ila mmi simwamini kabisa na hawa wakuu wake wa wilaya wawili walioteuliwa juzi kati nadhani nahitaji kujitoa kwa hiki chama. Nishaurini jaman!!
 
Sasa huyu Nick bora angekuwa rais wa walimu anayajua vizuri matatizo kuliko jamaa yetu
 
mmmh nadhani utaly amesahau kuwa anakuja kwenye wikaya yangu na mm ni mwakilishi wa cwt wilaya nitabanana nae kama nilivyokuwa nabanana naye kwenye 15% ya mahala pa kazi
 
Back
Top Bottom