Mbelwa Germano
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 789
- 293
Kweli huyu ameshastaafu na akili yake inatakiwa kustaafu wewe subiri tu viongozi hawa wamezoea kula matapishi yao hautapita muda tutamuona tena yeye mwenyewe yuko pale prove me wrong.Cheo kikubwa cha kisiasa uzeeni na bila kutarajia kinampagawisha.
Imepita kama siku tatu hizi,pale ambapo nilimsikia katibu wa CCM bwana Wilson Mukama kwenye taarifa ya habari ya TBC1 saa mbili usiku akibeza viongozi wa CHADEMA wakitembelea kaburi la Baba wa Taifa. Baada ya taarifa ile nilijiuliza maswali machache kama ifuatavyo:
WADAU NAOMBA MAWAZO YENU!
- Ni dhambi kwa vingozi wa CHADEMA kutembelea kaburi la baba wa Taifa?
- Je, CCM wana hati miliki ya kaburi la baba wa Taifa?
- Viongozi wa CHADEMA ni Watanzania sawa na wale wa CCM, vilevile hata ambao sio watanzania wanaweza kutembelea kaburi la Baba wa taifa,Je Mukama anataka kutufundisha nini kuhusu hili?
jamani hivi ni vituko vya mwaka!!!!!! kwanza kabisa mi naona tangu hyu mukama aingie madarakani amekuwa mtu wa kuropoka tu wala hajui anaropoka nini! jaribu kufuatalia yale asemayo hayana hata logic. naona yeye anasema bila kujali anasema nini. anashangaza na kuchekesha teh! teh! teh! hapa ccm ilipoteza mwelekeo zaid. makamba na mukama ni wale wale tu kasoro majina.Imepita kama siku tatu hizi,pale ambapo nilimsikia katibu wa CCM bwana Wilson Mukama kwenye taarifa ya habari ya TBC1 saa mbili usiku akibeza viongozi wa CHADEMA wakitembelea kaburi la Baba wa Taifa. Baada ya taarifa ile nilijiuliza maswali machache kama ifuatavyo:WADAU NAOMBA MAWAZO YENU!
- Ni dhambi kwa vingozi wa CHADEMA kutembelea kaburi la baba wa Taifa?
- Je, CCM wana hati miliki ya kaburi la baba wa Taifa?
- Viongozi wa CHADEMA ni Watanzania sawa na wale wa CCM, vilevile hata ambao sio watanzania wanaweza kutembelea kaburi la Baba wa taifa,Je Mukama anataka kutufundisha nini kuhusu hili?
Hizo ndizo sample za viongozi wa CCM,hapa nchi yetu walipoifikisha ndilo jibu la ni viongozi wa namna gani."KUWASHANGAA NI KUWAONEA HUO NDIO UPEO WAO WA KUFIRI"MUNGU IBARIKI TANZANIA.Imepita kama siku tatu hizi,pale ambapo nilimsikia katibu wa CCM bwana Wilson Mukama kwenye taarifa ya habari ya TBC1 saa mbili usiku akibeza viongozi wa CHADEMA wakitembelea kaburi la Baba wa Taifa. Baada ya taarifa ile nilijiuliza maswali machache kama ifuatavyo: