Mukama aibuka, aishambulia CHADEMA!

Nimekumkumbuka mfalme Juha aliyejinyonga mchana kweupe kwa kuingizwa mkenge.ha ha.
 
Huwezi kuwa kwenye magamba ukayegemea uwe msafi. ni kama mtu anayetapatapa kwenye tope huku akijidanganya kuwa yu msafi!!! Mtu msafi hawezi kuendelea kung'ang'anna CCM ya leo!!! CCM ya wasafi ilikuwa ile ya kina Kambara Nyerere na wakina Rashid Mfaume kawawa. shame on you Mkama!!
 
Hivi ukiwa Ccm lazima uwe mnafiki ?

CCM YA AJABU SANA, KWANZA WAMEMPA UKATIBU MKAMA A MAD MAN, PILI MAFISAD NDO WAMESHINDA KWA KISHINDO NA WAADILIF AKINA MAKONGORO WAMEKULA MWELEKA WA UKWELI, PIA KILA MTOTO WA KIONGOZ WA CCM KAWEKEWA NAFASI KTK NEC YAO, DS IS REDICULUs. LZM NIAMINI CHAMA IKI KINAKUFA TARATIBU
 
WILISON MUKAMA, akili yake haina akili, imezeeka, amepitwa na wakati, hafai hata kuongoza kata! Ndiyo sababu Nape kamu overpower kwa kila kitu. Shame on you Wilson.
 
Huyu jamaa ni sawa na mtu aliye kwenye coma, akiibuka anaomba sigara, anaruddi tena kwenye coma, akiibuka mara nyingine anaomba bange, kisha anrudi nk

Sio any impact ya huyu jamaa kwa CCM, they could do without katibu mkuu kwani aliyepo ni kama huwa ana kile cha msimu, huibuka na kuzama

he should do better, or they need to replace him before 2013, kama wako serious
 
Babu yangu ana mvii ila ana busarara sana ila ukiwa ccm hata uwe na mamvi kichwa kizima busara ni Dura!
 
1.Hongera Waridu Kabouru!
2.Tambwe Hiza
3.Prince Bagenda
4.Gulamhusein Kifu
5.Dani Makanga
6.Steven Wassira
 
MKAMA UJINGA NA UJUHA. NI MAADILI GANI MNAYO NYIE WANA CCM? WATOTO WENU JUZI JUZI WAMEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA CHINA. TENA ULIMWENGU UMESHANGAA KUONA CHINA INA DOUBLE STANDARD. INAKUWAJE WENGINE WANYONGWE WENGINE BABA ZAO WAWAIJIE KWA GHARAMA XA KODI ZETU NA MUWAACHIE. HAYO NDO MAADILI MKAMA ANATAKA TUAMINI? leo huyo muuza madawa ya kulevya ni mjumbe wa NEC CCM.
 

Wanakanyagana kutaka uongozi ndani ya CCM kwa kuwa wanatambua kuw ani chama dola hivyo kupata uongozi huo ni njia rahisi ya kujihakikishia hisa kubwa zaidi katka keki ya taifa.
 
Kama mahali unapotokea ndio pana determine mtu kupewa dola, basi makaongoro nyerere au Husseini mwinyi wangepewa Uraisi, kwakuwa wao wametokea pale magogoni ikulu kwenyewe.! wingi wa wasomi wanaokimbilia ccm ni woga tuu wa kupoteza mkate na ni kwasababu ccm bado imeshika dola tuu.Wasubirie kushangaa baadae
 
''Wanachama waliopikika kimaadili kama ilivyo CCM''

Ni mpumbavu peke yake anayeweza kuamini kuwa CCM kuna wanachama waliopikika kimaadili. Tunachojua tuliowengi ni kuwa ndani ya ccm wengi wamepikika kwa rushwa na ufisadi kwa ujumla
 


Mfa maji haachi kutapatapa, kwahiyo wanataka kutuambia CDM haina wasomi? ni waongo wakubwa nadhani hawajasoma vizuri cv za CDM. Bahati mbaya wengi walioko ccm wana dhambi zao wengine wamegushi vyeti, wamesomea majina ya watu n.k. lakn CDM is reliable party mtu mwenye cv feki hawezi kupata uongozi ndiyo maana wanahangaika kutafuta kuchafua lkn wanachemka wenyewe
 

Akina Sumaye (Hanang), William Kusila (Dodoma) na wengine wengi hawakuona hayo anayoyasema Mukama? Asijaribu kudanganya watu kwani hakuna asiyefahamu uozo wa magamba. Maadili gani hayo anayoyasema Mukama? rushwa na kupeana uongozi kwa kuangalia unasaba wa mgombea? But they still have the gut to go to the press and speak out nonesense like this? Shame on them all.
 
Siyo mavazi tu, angalia mashavu na ndevu zake!

hivi kweli huyu ana kioo nyumbani ,mbona anaacha ndevu mpaka zinaingia mdomoni inatia kichefuchefu kumwangalia.alafu akiongea anakuwa kama ana mtindio hivi.ni kama amepitwa na wakati hivi .unajifaragua tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…