Muislamu usipoheshimu na kutii wazazi wako dua zako hazitapokelea na Allah

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,273
21,440
In Islam, your prayers and worship won't be accepted if you don't treat your parents well.

Allah the Almighty said:

"Your Lord has decreed that you worship none but Him, and do good to parents. If any one of them or both of them reach old age, do not say to them: uff (a word or expression of anger or contempt) and do not scold them, and address them with respectful words,"
(Al-Isra [17]: 23)
Screenshot_20221224-120617_Facebook.jpg
 
Kipindi cha Mtume Muhammad rehma na Amani ziwe juu yake

Kuna Sahaba mmoja hakuwa na maelewano mazuri na mzazi wake,alipokuwa anataka kukata roho akiwa ktk sakaratul mauti alishindwa kutoa shahada

Lakini baadae baada ya kusamehewa na mama yake aliweza kutoa shahada

Kwahiyo hakika kuwaheshimi wazazi na kuishi nao vizur ni jambo jema sana
 
Kipindi cha Mtume Muhammad rehma na Amani ziwe juu yake

Kuna Sahaba mmoja hakuwa na maelewano mazuri na mzazi wake,alipokuwa anataka kukata roho akiwa ktk sakaratul mauti alishindwa kutoa shahada

Lakini baadae baada ya kusamehewa na mama yake aliweza kutoa shahada

Kwahiyo hakika kuwaheshimi wazazi na kuishi nao vizur ni jambo jema sana
Hii stori imeletwa kwa udhamini wa nani?
 
Kipindi cha Mtume Muhammad rehma na Amani ziwe juu yake

Kuna Sahaba mmoja hakuwa na maelewano mazuri na mzazi wake,alipokuwa anataka kukata roho akiwa ktk sakaratul mauti alishindwa kutoa shahada

Lakini baadae baada ya kusamehewa na mama yake aliweza kutoa shahada

Kwahiyo hakika kuwaheshimi wazazi na kuishi nao vizur ni jambo jema sana
Na hadeeth moja ya mtume (saw) ya sema mtu atakae kuta wazazi wake wako hai na bado akakosa pepo ndo atuka mwenye hasara kubwa......uislamu husisitiza amani kati ya mtoto na wazazi wake.
 
Muhamad alikuwa akikaa uchi mbele ya wanaume wenzie na kunyonya ulimi wa Hasan kila siju ndani ya Msikiti.

KWANINI MUHAMMAD ALIKUWA SHOGA NA ALIKUWA ANAKAA ANAKAA UCHI MBELE ZA WANAUME USHAHIDI NA KWA NINI MUHAMMAD ALIKUWA ANAUNYONYA ULIMI WA HASAN KILA SIKU NDANI YA MISIKITI JAMANI?

Imesimuliwa 'Aishah: "

Zaid bin Harithah aliwasili Al-Madinah wakati Mtume wa Allah (ﷺ) alikuwa nyumbani kwake. Kwa hivyo alikwenda na kugonga mlango, kwa hivyo Mjumbe wa Allah (ﷺ) alisimama uchi akiburuza nguo yake - na Wallahi! Sikumuona akiwa uchi kabla na baadaye - naye akamkumbatia na kumbusu. Wanasema kuwa maana ya uchi hapa ni kwamba hakuwa amevaa Rida (chupi )yake au kanga ya juu na ndiyo iliyokuwa ikiburuza, kwa hivyo eneo kati ya kitovu na magoti lilifunikwa.

حَدَّثَنَا مُحَمَّدُ بْنُ إِسْمَاعِيلَ، حَدَّثَنَا إِبْرَاهِيمُ بْنُ يَحْيَى بْنِ مُحَمَّدِ بْنِ عَبَّادٍ الْمَدَنِيُّ، حَدَّثَنِي أَبُو يَحْيَى بْنُ مُحَمَّدٍ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ إِسْحَاقَ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ مُسْلِمٍ الزُّهْرِيِّ، عَنْ عُرْوَةَ بْنِ الزُّبَيْرِ، عَنْ عَائِشَةَ، قَالَتْ قَدِمَ زَيْدُ بْنُ حَارِثَةَ الْمَدِينَةَ وَرَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فِي بَيْتِي فَأَتَاهُ فَقَرَعَ الْبَابَ فَقَامَ إِلَيْهِ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم عُرْيَانًا يَجُرُّ ثَوْبَهُ وَاللَّهِ مَا رَأَيْتُهُ عُرْيَانًا قَبْلَهُ وَلاَ بَعْدَهُ فَاعْتَنَقَهُ وَقَبَّلَهُ ‏.‏ قَالَ أَبُو عِيسَى هَذَا حَدِيثٌ حَسَنٌ غَرِيبٌ لاَ نَعْرِفُهُ مِنْ حَدِيثِ الزُّهْرِيِّ إِلاَّ مِنْ هَذَا الْوَجْهِ ‏.‏

Jami` at-Tirmidhi 2732 Juzuu ya 5 kitabu cha 40 Hadith 2732



NJOO TENA HAPA MUHAMMAD ALIKUWA ANAKAA UCHI MBELE YA MASWAHABA ZAKE

Aisha amesema Mtume wa Allah : “kuwa Mtume alikuwa anakaa uchi mbele ya maswahaba.”

قالت عائشة: أن النبي كان الله: "أن النبي كان جالسًا عريانًا أمام الصحابة".
: Sahihi Muslim Juzu . 4 Ukrasa . 153

KWA NINI MUHAMMAD ALIKUWA ANAUNYONYA WA ULIMI HASSAN NDANI YA MISIKITI?

Imesimuliwa na Abu Huraira

alisema, "Sikuwahi kumwambia sa-al-Hasan bila macho yangu kufurika machozi.

Restless Hustler endelea kupata madini hapa. Leo nipo free nikueleze uislamu ni nini kwa kutumia kitabu chao wala sikashifu dini yao
 
MTUME akiwa Mzee kabisa.
ALIOA MTOTO WA MIAKA SITA

Mbona tunawashtua hamuelewi???

UISLAMU UMEANZISHWA na Roma +shetani + Mood +Majini Mapepo= islamic
 
Mkuu zingatia mada ya uzi jaziba zako chuki na upotofu vinavyo kusumbua utaugua kisukali bure, huwezi kubabaisha Dini tukufu ys Allah, na hamna Muislamu wakukupa attention, rudi kwenye mada husika ya wazazi na mtoto, plz uta sababisha uzi wetu ufutwe kwa sabb ya chuki zako binfsi dhidi ya uislamu.
Hawa ndio dawa Yao wakileta upuuzi ni mikausho mikali tu
 
Ningependa nieleze kwa kirefu kidogo khs huyo sahaba ambaye alishindwa kutoa shahada.

Nimesahau Jina lake lkn alikuwa ni miongoni mwa watu wachamungu Sana,maswahaba wengine walio karibu nae walishangaa Sana kwanini huyu bwana alikuwa anashindwa kutoa shahada.

Walijitahidi kumsemesha atoe shahada lkn wapi, ikabidi waende kwa Mtume na kumweleza kuhusu huo mkasa,Mtu akawauliza vipi je ana wazazi ambao wako hai, akajibiwa ndio.

Akaambiwa yupo na mama yake mzazi,ikaulizwa vipi mahusiano yake na mzazi wake,akaambiwa hayakuwa mazuri,Mtume akaamrishwa mzazi wake aletwe.

Mama kaulizwa mwanao ni mchamungu lkn anashindwa kutoa shahada vipi mahusiano yenu na mwanao yakoje,mama alisema kweli hawakuwa na mahusiano mazuri. Akatakiwa msamehe mwanae lkn mama aligoma Kata kata.

Mtume akaagiza zikusanywe Kuni za kutosha na kumwambia Yule Mama,kwakuwa wewe hutaki kumsamehe basi ni Bora Yule mwanae achomwe Moto hapa hapa duniani kuliko kuchomwa na Moto WA jahanamu.

Hapo mama akaingiwa na huruma na kumsamehe mwanae,mara baada tu ya mama kukunjua roho Mashallah Yule Sahaba akatoa shahada.

Je Mimi na wewe ambao kila kukicha tunamkosea Allah je tunatoa wapi kiburi cha kutowatendea mema wazazi wetu?
 
Back
Top Bottom