Muigizaji Richard Norton afariki dunia

Tupo wengi tuliambiwa hivyo yaani

Unajua enzi zile uswahilini kulikuwa na watu kiingereza hawajui lakini wanakutafsiria movie yote mwanzo mwisho.
Walituingiza sana chaka mbwa wale
 
Hiyo picha uliyoitaja hapo kuna wadada wanapiga mkono balaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…