Apumzike kwa amaniMwigizaji Mkongwe na Maarufu nchini Tanzania, Grace Mapunda amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Aziz Ahmed ambaye ni Muongozaji wa Tamthilia ambaye alikuwa akifanya naye kazi kwa ukaribu kwa muda mrefu.
Imeelezwa kua Grace hakuumwa muda mrefu, ila alipelekwa Hospitali juzi na usiku wa kuamkia leo Novemba 2, 2024 akapoteza uhai. Msiba upo nyumbani kwake Sinza Vatcan.
NIlishazaliwa tokea 1943 huko, ila kwetu kulikuwa hakuna kideo, ningemjuaje?Mtu kama humjui huyu ni inamaanisha tu umezaliwa kuanzia 2002 kuja huku juu.
Yeah ana Watoto wawili,Unawafahamu wanawe mkuu? Umepotea sana JF dogo😀😀😀
Not at all!Unethical
Apumzike kwa Amani.
Mwigizaji Mkongwe na Maarufu nchini Tanzania, Grace Mapunda amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Aziz Ahmed ambaye ni Muongozaji wa Tamthilia ambaye alikuwa akifanya naye kazi kwa ukaribu kwa muda mrefu.
Imeelezwa kua Grace hakuumwa muda mrefu, ila alipelekwa Hospitali juzi na usiku wa kuamkia leo Novemba 2, 2024 akapoteza uhai. Msiba upo nyumbani kwake Sinza Vatcan.
Kitambo sana maigizo ya itv, kuna igizo moja aliyumia jina la 'mgala'Nimeangalia hii picha yake ya kitambo ndio nimemjua
Sisi wengine ni wadau wa Azam mkuu DStv hatuijui
RIP
View attachment 3141179
hata uishi vipi utakufa tuKwa Amani kumejaa apumzike kwa bwanaheri
Kuna kitu kimoja nataka tukumbushane binadamu wenzangu
tuishi kwa amani upendo na kumnyenyekea Mungu. Tusivimbe
Ukweli ni kwamba kadiri siku zinavyosonga ndio makaburi yetu yanakaribia
ukiona kumekucha tu ujue we are making step......towards the grave
Tafakari
Tupo wengi rafikiKati ya watu huwa siwajui ni hawa waliopo kwenye industry...
Mi ninaowakumbuka ni wa kipindi niko primary tu kama huyu lijendi, tofauti na hapo sifuriKati ya watu huwa siwajui ni hawa waliopo kwenye industry...
Hujazaliwa 1943.NIlishazaliwa tokea 1943 huko, ila kwetu kulikuwa hakuna kideo, ningemjuaje?
Sasa kwa amani kumejaa halafu ndio tukaishi huko ....labda upendo japo nae naskia amechoka siku hizi pesa ndio habari na hana muda!Kwa Amani kumejaa apumzike kwa bwanaheri
Kuna kitu kimoja nataka tukumbushane binadamu wenzangu
tuishi kwa amani upendo na kumnyenyekea Mungu. Tusivimbe
Ukweli ni kwamba kadiri siku zinavyosonga ndio makaburi yetu yanakaribia
ukiona kumekucha tu ujue we are making step......towards the grave
Tafakari
Kwahiyo baada ya kukukataa ukamuona amevimba! Hakukupenda, ona sura lako baya!Kwa Amani kumejaa apumzike kwa bwanaheri
Kuna kitu kimoja nataka tukumbushane binadamu wenzangu
tuishi kwa amani upendo na kumnyenyekea Mungu. Tusivimbe
Ukweli ni kwamba kadiri siku zinavyosonga ndio makaburi yetu yanakaribia
ukiona kumekucha tu ujue we are making step......towards the grave
Tafakari
I can feel it mkuu. Binafsi niliwapoteza wazazi wote 2017 kwa ajali na isitoshe nimezaliwa peke yangu. No Dada No Kaka aiseee kama sikuchizika basi Sitokuja kuchizika. Mungu ni Mwema Sana Niko Ngangari Kamili Gado. Apumzike kwa Amani Tesaaa wa HubaNot at all!
Its Sad Mkuu kama Umewahi Kupoteza Baba na Mama Utaelewa Jinsi watoto Wanavyoteseka Wakiacha Ukiwa hata kama wakiwa na Mali kiasi gani..
Mimi Ni mmoja wa Niliowahi kupoteza wazazi Wote So najua Jinsi Hali ilivyo kupoteza Nguzo iliyokuwa Imebaki
Vimba dada wasikupangie maisha ndiyo haya hayaHiii kauli imekaaa kinafiki sana,,,, tusipangiane maisha….ishi utakavyo …..uvimbe au usinyae jua utakufa tu….tuishi vile inavyokuendeza wewe mwenyewe.🫡
RIP Tesha