hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,889 Reaction score 9,633 Jun 14, 2016 #1 Jamani Naomba msaada wa kujua wapi nitapata muhuri wa moto na vitu gani vinaitajika mpaka niweze kuuziwa mfano kama ni picha au vitambulisho... niko Dar es salaam Nawasilisha
Jamani Naomba msaada wa kujua wapi nitapata muhuri wa moto na vitu gani vinaitajika mpaka niweze kuuziwa mfano kama ni picha au vitambulisho... niko Dar es salaam Nawasilisha
Vieloon JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 1,520 Reaction score 695 Jun 14, 2016 #2 Nenda kariakoo, mitaa ya mataa pale ulizia wachonga mihuri, ...pale ni hela yako tu mkuu..magumashi unamaliza!!
Nenda kariakoo, mitaa ya mataa pale ulizia wachonga mihuri, ...pale ni hela yako tu mkuu..magumashi unamaliza!!
hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,889 Reaction score 9,633 Jun 14, 2016 Thread starter #3 Vieloon said: Nenda kariakoo, mitaa ya mataa pale ulizia wachonga mihuri, ...pale ni hela yako tu mkuu..magumashi unamaliza!! Click to expand... Thank you, ngoja nielekee pande hizo
Vieloon said: Nenda kariakoo, mitaa ya mataa pale ulizia wachonga mihuri, ...pale ni hela yako tu mkuu..magumashi unamaliza!! Click to expand... Thank you, ngoja nielekee pande hizo
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 6,000 Jun 16, 2016 #4 hp4510 said: Thank you, ngoja nielekee pande hizo Click to expand... Ila uwe makini maana maofisa usalama wamejaa pande hizo pia!
hp4510 said: Thank you, ngoja nielekee pande hizo Click to expand... Ila uwe makini maana maofisa usalama wamejaa pande hizo pia!
Vieloon JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 1,520 Reaction score 695 Jun 16, 2016 #5 Wonderful said: Ila uwe makini maana maofisa usalama wamejaa pande hizo pia! Click to expand... Sure!!!!
Wonderful said: Ila uwe makini maana maofisa usalama wamejaa pande hizo pia! Click to expand... Sure!!!!
Ponjoro JF-Expert Member Joined Sep 7, 2013 Posts 442 Reaction score 396 Jun 16, 2016 #6 Hata pande hizi ulizoanzisha uzi...wamejaa pia!!!