Muhudumu pharmacy au DLDM

Muhudumu pharmacy au DLDM

Ivan mapalala

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2017
Posts
285
Reaction score
103
Wakuu nisiwachoshe poleni na majukumu ya kusaka tonge

Kuna ndugu ameniomba nimuandikie uzi huu
Anatafuta kazi ya kuuza duka la dawa muhimu za binadamu au Pharmacy kwa atakae hitaji awasiliane nae kwa namba 0712863626
0759947921
 
Umeshatuchosha tayari,unatuma ombi la kazi saa saba usiku.
 
Ivi inakuwaje watu wa kada hii kuangaika sana katika ajira hata zile za temp,wasomi ni wengi kuliko maduka ama
 
Back
Top Bottom