aaaaaaaaaah wewee acha matusi ya rejareja,mibange au mbwiga ndio nini?,umekula maharage ya wapi?:doh:Kaniboa mno nimempigia kistaarabu kabisa bahati yake simjui mbwiga huyo
Jamani wanajamvi kama nusu saa imepita nimepiga simu kwa ajili ya maelekezo fln kwenye kampuni ya tigo kuna kaka kapokea simu yangu na kabla sijamuelekeza tatizo kakata simu kama mnakua na stress acheni kazi hyo ni baada ya kupiga ile nmbr100 ambayo hua inaunganishwa baada ya kusubiri sana ushaur wangu kwa tgo muwe mnaangalia watu wa kuwahudumia wateja sio jitu limevuta mibange yake mnaliweka hapo.