UKAWA mlituaminisha kuwa umeme unaosambazwa na Muhongo ni pesa ya Bush na nyingine ni kodi zetu, nakuwa hata akiondoka Muhongo biashara itabaki palepale, sasa tangu aondoke Muhongo huku Dutwa, Mkula, Mwamanga, Gamboshi Mwamagulu na Mwaitambuka tumebaki na nguzo na waya tu hao mafundi hawapo tena na lile gari lililokuwa limebeba transformer limeondoka nazo, na nyie hatuwaoni tena mkipita na mabendera yenu, kumbe shida yenu muhongo atoke tu.
Sio huku kwetu hata Misasi, Maswa, Itilima, Sengerema, Nkome, Nzela mambo ni yaleyale nguzo zimezagaa tu, sasa hatuwekewi umeme mumeanza kutusambazia mkongo wa taifa wa wavietinam ndo nini sasa.
Tumeshawambia mkija na Lembeli wenu tutawapopoa na mayai viza.