Mengi naye siyo mtu wa maana sana. Tusimkopeshe ili mkikutana mwambieni. Ni mkabila munoooo! Yeye anaamini anaunda makampuni kwa ajili ya wachaga tu. Sabotage za kikabila kwa makampuni mengine. Eti Moshi hakuna maji ya Uhai, soda za pepsi, nk. Inatusaidia nini sisi makabila mengine? Mbona bidhaa zake zinauzwa mikoa minginea?
Hakuna Popote pale duniani bepari amepata kutetea wanyonge, mtetezi wa wanyonge huwa hatajiriki, Mengi anatetea maslahi yake, migodi anayomiliki na Vitalu anavyotamani, thats it, amkeni Wabongo
Ni heri anayekula akakumbuka wanyonge japo kwa kuwaangushia makombo ya mezani kuliko Wanaojidai ni wasomi, wanasiasa,matajiri maarufu wezi wanaoiba pesa za walalahoi tena kwa kutumia mifuko ya rambo na viroba mchana kweupe bila hata haya usoni!!!!!.....