Bunge halina mamlaka ya kumuondoa waziri wa kawaida isipokuwa waziri mkuu.muhongo anaposema bado ni waziri yuko sahihi.akina kagasheki walijiuzuru kwa agizo la rais kwa njia ya simu alipomuagiza pinda atoe taarifa bungeni.kwa kuwa muhongo hataki kujiuzulu atabaki waziri hadi rais amtimue.
Alitaka kushindana na nguvu ya pesa sasa anakiona cha mtema kuni. Akitolewa tu utasikia Mengi kamegewa kipande cha gesi
Kwa hyo waziri hawajibiki kwa bunge? Iweje wakati wa oparesheni tokomeza mawaziri waliwajibika kwa bunge bila kusubiri uamuzi wa mamlaka ya uteuzi wao? Au hizi sheria zikoje? Tundu Lissu nisaidie kwa hili tafadhari mimi ni bush lawyer kama makinda
hajielewi.lakin sishangai maprof weng ndivyo walivyo
Anachosema Muhongo ni sahihi kabisa.
Yeye bado ni waziri mpaka JK atakapoamua kumvua uwaziri na pia kuna uwezekano asimvue akaendelea kuwa waziri.
Kwa kuwa Pinda yu salama..Pinda ndiye atakayejitahidi kuhakikisha Muhongo na wenzake wanaondoka ili mwezi January arudi Bungeni akiwa shujaa kwa kutekeleza maagizo ya Bunge na hivyo kuondoa kiwingu hiki "kwenye ile safari yake ya kimyakimya kwenda ikulu"
Ni kweli.....Rais ameshauriwa na anaweza kukubali au kukataa
Bunge halina mamlaka ya kumuondoa waziri wa kawaida isipokuwa waziri mkuu.muhongo anaposema bado ni waziri yuko sahihi.akina kagasheki walijiuzuru kwa agizo la rais kwa njia ya simu alipomuagiza pinda atoe taarifa bungeni.kwa kuwa muhongo hataki kujiuzulu atabaki waziri hadi rais amtimue.
Ha ha ha ha ha ha ha........Jamaa kachanganyikiwa.
Anaamini yeye bado waziri. Mwenye uwezo wa kumvua madaraka ni Rais tu na siyo wahuni wa Bungeni. Hawezi kubabaishwa na Wahuni na Wala Rushwa. Yeye ni waziri na atabaki kuwa waziri hadi pale Rais atakaposema basi...
Hapa Dodoma watu wanamuona wazimu na hii jeuri yake ya kitoto.
Haamini kwamba Bunge limemvua madaraka ya uwaziri